Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
nastaafu rasmi umbea leo
umbea umezidi yaaniKwa nini
nini mkuu au libwata?inauma sana ila kuna tetesi fulan kuhusu huyu *ndoha*
Unastaafu umbea afu utafanya kazi gani, ajira zenyewe zimesitishwa acha hizo...... Umbea kazi usistaafu pleasenastaafu rasmi umbea leo
usiringie uzuri dada ringia bahatiKifutu kapigwa chini, atakonda.....
maumbea ya hivi reporter unatakiwa uwe na roho ngumu jamani lohUnastaafu umbea afu utafanya kazi gani, ajira zenyewe zimesitishwa acha hizo...... Umbea kazi usistaafu please
naja pm maana nisijesutwa na ushushushu wangunini mkuu au libwata?
Ha ha ha ha ha oooh hubby, bae.....kapepeausiringie uzuri dada ringia bahati
ahahaa leta umbea shogaa usiku mrefu kwetu mabachelor wenye bahati zao wanagegedwa saa hizi tufanyeje sie?naja pm maana nisijesutwa na ushushushu wangu
Ha ha ha ha hamaumbea ya hivi reporter unatakiwa uwe na roho ngumu jamani loh
ahahaaa nji wa ajabu huu angeaga ma ex kama masanja hataHa ha ha ha ha oooh hubby, bae.....kapepea
Labda umbea ukustaafu wewe, lakin wewe kustaafu umbea.. Ngumu mnoo... "Once mbea always mbea"nastaafu rasmi umbea leo