Ndoa ya Flaviana Matata

Mtu akiwa mweupe tu ni mzuri,wanawake bana, ndio maana hamuachi kujikoboa mkiamini weupe ndio uzuri,sijui nani kawaroga wanawake wa kiafrika.
 
Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.

Kila kheri dada flavy

Sio hawataki ndoa,wanazitaka sana sema hawaoleki,hawavutii nahawana nyota ya ndoa sasa wwmebaki sizitaki mbichi hizi lkn deep inside wanazitaka hata kwa waganga na wachungaji huwa wanaenda basi tu wana nyota za kua michepuko.
 
Small mind at work!! Always discuss people..ndo bongo haiendelei, great thinkers ndo hawa.
 
umechanganya ung'eng'e na uswahili ndukii
 
Sio hawataki ndoa,wanazitaka sana sema hawaoleki,hawavutii nahawana nyota ya ndoa sasa wwmebaki sizitaki mbichi hizi lkn deep inside wanazitaka hata kwa waganga na wachungaji huwa wanaenda basi tu wana nyota za kua michepuko.

Haloooooooo ooh....watu na nyota zetu babu ..hahahaha watu wanapenda ndoa basI tu hawajapata wa kuwatamkia
 
Hongera flavy nmependa make up na hair style hakuna complications kabisa
 
Nafikiri mange atampa pongezi zake .

Maana kwenye ile listi yake yupo
 
Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.

Kila kheri dada flavy

umeona eh mkuu kuna mi watu inagundu hatare kukimbilia had kuzaa na waume za watu but ndoa zimebumaa..utawaona midomo juu juu kuwanenea wenzao mabaya..mungu mkali tumuogope analipa..wataishia kuona makunyaz hayo na ndoa zao za ndotoni..hongera flavy again n again..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…