said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Jamani mm nilikua naomba kujua mtu akitaka kufunga ndoa ya bomani anafata taratibu gani.. Maana kuna mtu kaniambia nilete copy ya passport ya mwanamke booking ticket na cheti changu cha kuzaliwa nimepeleka cha kushangaza Anataka nilipie laki na nusu kwa sabab Anataka kunisaidia wakat I nasemekana ni 50 tu na unatakiwa utoe taharifa siku 21 kabla...
Sio mtanzania ndio na nimefata vitu vyoteMwanamke sio Mtanzania au?
Cha msingi kupeleka viambatanisho vya msingi ambavyo inatakiwa kupeleka.
Ndoa ni elfu 50000 izo nyingine njaa zao tu unawasaidia si unajua vitengo vimebanaMwanamke sio Mtanzania au?
Cha msingi kupeleka viambatanisho vya msingi ambavyo inatakiwa kupeleka.
Dah mwanangu noma mwana Anataka nimpe laki na nusu kisa mwanamke sio mtanzania ni mzunguNdoa ni elfu 50000 izo nyingine njaa zao tu unawasaidia si unajua vitengo vimebana
Kumbe unaoa mzungu, toa milion kabisaDah mwanangu noma mwana Anataka nimpe laki na nusu kisa mwanamke sio mtanzania ni mzungu
DoooohKumbe unaoa mzungu, toa milion kabisa
Hongeraa sana. kwa uandishi huu umepata bahati ya "kuoa" mdhungu!!!!!Jamani mm nilikua naomba kujua mtu akitaka kufunga ndoa ya bomani anafata taratibu gani.. Maana kuna mtu kaniambia nilete copy ya passport ya mwanamke booking ticket na cheti changu cha kuzaliwa nimepeleka cha kushangaza Anataka nilipie laki na nusu kwa sabab Anataka kunisaidia wakat I nasemekana ni 50 tu na unatakiwa utoe taharifa siku 21 kabla...
Na hali sie weusi wenzao tunadoda hapa. hahahahahahaahaKisa cha kuoa mzungu ni nin?