Ndoa sio kitu cha mchezomchezo


Huo muda wa kunywa sumu kwa sababu ya pimbi mmoja unautoa wapi? una umia moyo kwa dakika na akili lazima ichangamke kutafuta pesa ili usinyanyaswe na mwanaume ...ndo maana siku zote nawaambia wanawake wenzang tutafute pesa ili hawa wanaume wasituumize yaan akikugeresha ttu ..na wew unamgeresha HATUTAKI UJINGA ,,HAHAHHAHAHAA iga ufe natania tu jaman..ila kuwa na pesa mwanamke raha sana mwanaume hakusumbui,,,,ama nin ..
unamnyoosha tu akizingua ..unampeleka central ama nn ,,,eeh mwanamke kuwa na pesa na mali zako ila usimwonyeshe mwanaume jifanye goigoi kwenu hakuna yaan ..jifanye umetokea kwenye njaa,,,hahahaahaha ati wataka kusibishwa ,,,iga ufe,,soorry typing error..hπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…