Habari wana-MMU
Kwa tafsiri iliyo rahisi ni kwamba kila nyumba ya wageni utakapojaribu kuulizia nafasi ya kulala msimu huu wa sikukuu na kumalizia mwaka utaambiwa nafasi za kulala hamna ila nafasi za show time zipo,.
Hii ni dhahiri kwamba kuelekea mwisho wa mwaka ndoa nyingi zipo hatarini kusalitiwa kama siyo kuvunjika kabisa!!
'' Merry Christmass MMU Family''
waache wasalititiane,wakianza kuugua homa za marakwamara,wanaanza kusema wamerogwa,Tamaa mbele,mauti nyuma.
Mbona unajitoa? Hata wewe vile vile unaweza kuwa mhanga!!
Hongeraaa.....but masista siku hizi nanyi mmo!!mimi sister bwana,huko sipo kabisa,kamwe siwezi kuwa mhanga
mimi sister bwana,huko sipo kabisa,kamwe siwezi kuwa mhanga
mimi sister bwana,huko sipo kabisa,kamwe siwezi kuwa mhanga
Show time ndo nini?
Na nani aliyekudanganya wanawake wote wameolewa?
Show time ndo nini?
Na nani aliyekudanganya wanawake wote wameolewa?