Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,929
NakaziaNdoa ni Taasisi aliyoiasisi Mungu mwenyewe. Kutokana na Ndoa Familia hujengwa, Jamii hujengwa, mataifa na Nchi hujengwa, na Wacha Mungu huzaliwa na kuchipuka na kuijaza Dunia.
Ibilisi anajua Siri hii, na anafanya jitahada kubwa kuharibu mpango huu. Usishangae kuona wingi wa single parent hood na kampeni za ndoa ya Jinsi Moja siku hizi, vyote hivi ni strategy ya ibilisi kiangamiza Ustawi wa wanadam kiroho dhidi ya Muumba wao. Ibilisi ni baba wa zinaa na anajua Ndoa ni kinyume na zinaa. Anajua Mpango wake kamwe hauwezi kufanikiwa kwa uwepo wa Ndoa takatifu.
Mipango mingi ya Mungu inapingwa na wapumbavu, hata hili la Ndoa pia. Tuendelee kuombeana. NDOA NAIHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Ni kichaa tu awezaye kupinga baraka, ila kwa mwenye utimamu wa akili hawezi pinga ndoa.Ngoja waje hapa wapinga ndoa. Ila kiukweli Ndoa ni baraka
Jina baya ila umekuja na madini makali. Asante.Ni hakika ndoa ni Fursa Kubwa kwa Mwanaume na kwa Mwanamke pia.
Kwa MWANAUME..... una mwanamke mzuri kando yako, ni mke mwema kutoka kwa BWANA.
Anakutumikia kwa kila njia kwa moyo wake wote, hakunyimi. Anakuweka mwenye akili na umakini. Ni mama wa watoto wako. Wanapeleka wasiwasi wao wote kwake.
Yeye huwasha moto polepole na polepole. Kuwa na subira naye. Usimkimbie kwa sababu ya mapenzi yake. Mwabudu kutoka alfajiri hadi jioni. Uchangamshe moyo wake kwa upendo mwororo na fadhili. Mruhusu ajisikie salama na salama akiwa nawe.
Kwa MWANAMKE..... una mwanamume mzuri ambaye anakupenda mwaka baada ya mwaka, mwaka nje. Anabeba majukumu yote yake ili kukupendezesha.
Yeye ndiye baba wa watoto wako. Anavumilia upuuzi mwingi kazini ili kukidhi familia anayoipenda.
Anapiga kazi kisawasawa ili usipungukiwe hela ya matumizi.
Unapaswa umfariji anaporudi nyumbani kutoka kazini akiwa amechoka. Busu machozi yake. Lakini yeye hupata joto haraka unapombusu. Usimwache asimame katika hewa ya moto. Mwache tu aingie ndani mpe, mpe hadi aridhike.
Wapendwa ambapo kuna upendo, kuna maisha. Ndoa kubwa ni pale ambapo kila mwenzi anafikiri amepata mwenza bora zaidi. Katika ndoa kubwa, unaendelea kumpenda mtu yuleyule tena na tena, yaani hakuna kuchokana.
NDOA NI FURSA
Barikiwa.
Hata MLONGANZILA ni jina baya ila kuna wagonjwa huwa wanapona pale.Jina baya ila umekuja na madini makali.
Kutumia kondomu ni sawa na kupiga nyeto tu, mbaya zaidi dhambi ya kuzini haifutwi kwa kutumia kondomu, so ukipenda kwenda jehanamu piga peku peku tu 😂Na wakati unasubiri kuoa, hakikisha unatumia Condom kwenye kila tendo unalofanya.
Kumkumbushana na wajibu wetu.Ukioa/ukiolewa ww fanya kivyako, ambao hawataki kuoa sio kwamba hawajui uliyoyaandika
Hizi movie za kifilipino zinawadanganya sana nyie wainjilisti
Mkuu, ukiwa haupo tayari kutumia Condom, basi hakikisha utabeba majukumu kisawasawa.Kutumia kondomu ni sawa na kupiga nyeto tu, mbaya zaidi dhambi ya kuzini haifutwi kwa kutumia kondomu, so ukipenda kwenda jehanamu piga peku peku tu 😂
Na ikiwa haupo tayari kubeba majukumu weka kando uzinzi.Mkuu, ukiwa haupo tayari kutumia Condom, basi hakikisha utabeba majukumu kisawasawa.