Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Mwanamke hajaumbwa kwa ajili ya kumnyenyekea mwanaume..Jibu la mkato:
Mwanamke.
Maelezo mafupi:
Mwanamke amehama kutika kwao kwenda mji mwingine, ana wajibu wa kueneda kama mazingira mapya yanavyomtaka kufanya.
Sasa yeye anaona kmnyenyekea mme ni utumwa.
Taasisi yoyote ina majukumu na lazima iongozwe.. kila binadamu hapa duniani ameumbwa kwaajili ya kazi fulani na ana majukumu yake katika jamii, familia, kazini, kitaifa na kwengineko ila pia kila mmoja ana nafasi yake katika NDOA.. iwapo wewe ni muumini wa dini eidha ya kikristo ama ya kiislam.. Mie mkristo na dini yangu inaagiza hivi mwanaume ampende mkewe kama Yesu alivyolipenda kanisa.. amlinde na kumhudumia mkewe.. n.k. mwanamke aliambiwa awe mnyenyekevu na amuheshimu mumewe.. haya majukumu Mungu aliyaweka kwasababu nyingi ila kwa msingi huu Ndoa inaweza kuimarika mambo mengine yanapoingia tu.. Ndoa lazima ivurugike..Mwanamke hajaumbwa kwa ajili ya kumnyenyekea mwanaume..
Amuheshimu mwanaume kama mume wake na mume amheshimu mwanamke kama mke wake..
Ndoa ni taasisi ambayo wanandoa wote wawili wanawajibika sawa katika kuipa ustawi imara.
Unyenyekevu ni sehemu ya heshima!Mwanamke hajaumbwa kwa ajili ya kumnyenyekea mwanaume..
Amuheshimu mwanaume kama mume wake na mume amheshimu mwanamke kama mke wake..
Ndoa ni taasisi ambayo wanandoa wote wawili wanawajibika sawa katika kuipa ustawi imara.
Lakini kuna baadhi ya wanaume badala ya kuheshimiwa wanataka waabudiwe bila ya wao kutimiza kwanza majukumu yao ya kiuanaume!Unyenyekevu ni sehemu ya heshima!
Kama nimekosea lugha hiyo sawa, nipe ANDIKO linalomtaka "mume kumheshimu mke"
Ongeza na hii, mwanaume kabla hajaoa anashida zake tu, baada ya kuoa shida za mke na wakwe zote zinakuwa zake na stress zamke anabeba piaJibu la mkato:
Mwanamke.
Maelezo mafupi:
Mwanamke amehama kutika kwao kwenda mji mwingine, ana wajibu wa kueneda kama mazingira mapya yanavyomtaka kufanya.
Sasa yeye anaona kmnyenyekea mme ni utumwa.
Mwanamke inatakiwa amheshimu na kumtii mme wake, bali mwanaume inatakiwa aishi na mke wake kwa akiliMwanamke hajaumbwa kwa ajili ya kumnyenyekea mwanaume..
Amuheshimu mwanaume kama mume wake na mume amheshimu mwanamke kama mke wake..
Ndoa ni taasisi ambayo wanandoa wote wawili wanawajibika sawa katika kuipa ustawi imara.
Patience123 inavoonekana ni kama vile wanaume wengi hulalamika kuwa wanawake hutaka kuyageuza matamanio yao ndiyo yawe matamanio ya ndoa yao. Kwa mfano wanaume wengi huweza kuishi kwenye nyumba yoyote ile ya kupaga, lakini wanawake wako bize mara nyingi kukosoa uchaguzi wa nyumba watakayochagua mwanaume kupanga!!
Mkuu hapa tupo kwa imani tofauti,ukisema habari ya maandiko huenda tusielewane. Labda tubaki na hilo neno" heshima "Unyenyekevu ni sehemu ya heshima!
Kama nimekosea lugha hiyo sawa, nipe ANDIKO linalomtaka "mume kumheshimu mke"
Ha ha ha miluzi mingi hupoteza mwelekeo wa mawindo ya mbwa!Mwanamke ni tatizo.
Anapotezwa na miluzi mingi.
Anapenda kuwa kama fulani wakati uwezo ni mdogo sana na anajisahau mapema mno.
Siyo na kwa mwanamke pia shida za Mumewe na wakwe zake nazo huwa zake?Ongeza na hii, mwanaume kabla hajaoa anashida zake tu, baada ya kuoa shida za mke na wakwe zote zinakuwa zake na stress zamke anabeba pia
Mwanamke wa hivyo sijamuona labda jimama linaloishi na marioo ila kwa wanaume yapo, tatizo kidogo tu mke anataka hela atume kwao yaani kuoa ukoo maskini ni balaa la kujitakiaSiyo na kwa mwanamke pia shida za Mumewe na wakwe zake nazo huwa zake?
Wakunyeyekewa ni mungu.Mume anaheshimiwa.Sasa yeye anaona kmnyenyekea mme ni utumwa.
Na Kwa maelezo ya Patience123 ni kwamba ni vizuri kuoa mtu mnayelingana naye kipato au utakayemudu kushughulika na matatizo yake!!Mwanamke wa hivyo sijamuona labda jimama linaloishi na marioo ila kwa wanaume yapo, tatizo kidogo tu mke anataka hela atume kwao yaani kuoa ukoo maskini ni balaa la kujitakia