A Ayatollah the Bird JF-Expert Member Joined Jul 30, 2026 Posts 361 Reaction score 766 Today at 7:55 PM #1 Ngoma inazidi kuwa ngumu every year,matukio kibao talaka zimezidi mno.saiv ngoma inapasuka na wachezaj hamna!
Ngoma inazidi kuwa ngumu every year,matukio kibao talaka zimezidi mno.saiv ngoma inapasuka na wachezaj hamna!
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,212 Reaction score 51,879 Today at 8:00 PM #2 To hell with it
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,969 Reaction score 5,608 Today at 8:03 PM #3 Mpaka kifo kiwatenganishe.... marufuku KUACHANA!!!
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,698 Reaction score 3,312 7 minutes ago #4 Psalm_23 said: Mpaka kifo kiwatenganishe.... marufuku KUACHANA!!! Click to expand... kifo chenyewe hakitulii na mmoja unatuliaje wew?
Psalm_23 said: Mpaka kifo kiwatenganishe.... marufuku KUACHANA!!! Click to expand... kifo chenyewe hakitulii na mmoja unatuliaje wew?
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 2,969 Reaction score 5,608 1 minute ago #5 Matunzo 02 said: kifo chenyewe hakitulii na mmoja unatuliaje wew? Click to expand... Inawezekana, wengine hata mmoja hatuna.
Matunzo 02 said: kifo chenyewe hakitulii na mmoja unatuliaje wew? Click to expand... Inawezekana, wengine hata mmoja hatuna.