Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
mbona hueleweki, naona upo kishabiki zaidi kwa kutegemea upongezwe na chadema, hili jukwaa mpaka tusio na vyama tumo so lete habari yenye mashiko sio tu na wewe uonekane umeanzisha thread, habari za ccm na cuf kuhusu ndoa zao tushadili vya kutosha humu, nccr mpaka saivi unaweza kwenda kuchangia, usikurupuke na kujaza upupu wako.
Thank you bro,I hope I have a long way to go!Hata hivyo,nadhani wanaopita pia wanapata idea yangu,na hivyo kufanikisha kufikisha ujumbe.hapana kaka lengo ni kukusaidia upeo wako wa kufikri ili kesho usichekwe mbele za watu, hata hao wapenzi wa ccm, cdm etal wanasimamia fact na sio upepo tu, kwa mfano, kwa mujibu wa thread yako umeshindwa kuelezea mvutano au iyo nyongo iliopo baina ya iyo ndoa yao, vilevile chanzo umekitoa wapi, mkuu sio kama skupendi najaribu kukusaida, wala sina tatizo na wewe kua mfuasi wa chama fulani ndio mana huoni mtu kuchangia hapa zaidi ya wanaopita njia na mimi kukupa somo.
mbona hueleweki, naona upo kishabiki zaidi kwa kutegemea upongezwe na chadema, hili jukwaa mpaka tusio na vyama tumo so lete habari yenye mashiko sio tu na wewe uonekane umeanzisha thread, habari za ccm na cuf kuhusu ndoa zao tushadili vya kutosha humu, nccr mpaka saivi unaweza kwenda kuchangia, usikurupuke na kujaza upupu wako.
Ukiona mbwa analia kwa uchungu ujue jiwe limempata sawasawa!
hapana kaka lengo ni kukusaidia upeo wako wa kufikri ili kesho usichekwe mbele za watu, hata hao wapenzi wa ccm, cdm etal wanasimamia fact na sio upepo tu, kwa mfano, kwa mujibu wa thread yako umeshindwa kuelezea mvutano au iyo nyongo iliopo baina ya iyo ndoa yao, vilevile chanzo umekitoa wapi, mkuu sio kama skupendi najaribu kukusaida, wala sina tatizo na wewe kua mfuasi wa chama fulani ndio mana huoni mtu kuchangia hapa zaidi ya wanaopita njia na mimi kukupa somo.
Hivi lipumba alienda wapi? Mbona simsikii hata kuliongelea hili suala la ZNZ?