Naweza nisiwe na maneno mengi sana, japo nawaombeni muangalie Star Tv kwenye kipindi cha AJENDA 2020. Yuko anajaribu kusemea utekelezaji wa kazi zake jimboni kwake Arumeru.
Ukweli simfahamu sana, ila leo nimefurahi sana, kwa majibu mazuri na yasiyo ya kiitikadi. Ni majibu ya utetezi wa wananchi wake.
anajibu kwa weledi na ni kiongozi na mwenye uwezo mkubwa sana.
Mnisamehe naweza nisiwe nimeleta mada nzuri lakini, piteni huko sasa.
Asanteni. Napita tu.
Nimeangalia kipindi hicho,Mbunge ameonyesha uwezo mkubwa wa kujibu maswali na staha tofauti na huyo jamaa aliyeko studio,ambaye alionekana kukamia na kupanic.