Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Aug 31, 2012 #41 dada white said: Nataman nikamuambie hivi "Mpenzi wangu nakupenda ila tatizo linakuja pale unapotaka kunibusu yaani ndevu zako kali kama pin huwa unanichoma pindi unaponibusu maeneo fulan ya mwili wangu" Kweli kwenye mapenzi wadada tunavumilia mengi. Click to expand... Bahati mbaya sipendi kabisa ndefu...wengine wanasema ni nzuri zinachochea mwelekeo wa zoezi zima.Zinachafua kidevu na kupoteza muda wa kuwaona vinyozi
dada white said: Nataman nikamuambie hivi "Mpenzi wangu nakupenda ila tatizo linakuja pale unapotaka kunibusu yaani ndevu zako kali kama pin huwa unanichoma pindi unaponibusu maeneo fulan ya mwili wangu" Kweli kwenye mapenzi wadada tunavumilia mengi. Click to expand... Bahati mbaya sipendi kabisa ndefu...wengine wanasema ni nzuri zinachochea mwelekeo wa zoezi zima.Zinachafua kidevu na kupoteza muda wa kuwaona vinyozi
T Tata JF-Expert Member Dec 3, 2009 5,799 2,725 Aug 31, 2012 #42 Preta said: haa!!....nyoa bana....... Click to expand... Zikinyolewa ndio zinakuwa fupi na kali zaidi hasa zinzpoanza kuota.
Preta said: haa!!....nyoa bana....... Click to expand... Zikinyolewa ndio zinakuwa fupi na kali zaidi hasa zinzpoanza kuota.
T Tata JF-Expert Member Dec 3, 2009 5,799 2,725 Aug 31, 2012 #43 Caroline Danzi said: Mwanaume bila ndevu nahisi atakuwa siyo!! we unayechukia ndevu una lako jambo!!! jifunze kuzipenda utazoea Click to expand... Mbona mnatuchanganya sasa mwenzako anasema ndevu zinamharibia uhusiano wewe unadai mwanaume bila ndevu unahisi atakuwa siyo!!
Caroline Danzi said: Mwanaume bila ndevu nahisi atakuwa siyo!! we unayechukia ndevu una lako jambo!!! jifunze kuzipenda utazoea Click to expand... Mbona mnatuchanganya sasa mwenzako anasema ndevu zinamharibia uhusiano wewe unadai mwanaume bila ndevu unahisi atakuwa siyo!!
C christmas JF-Expert Member Jul 21, 2011 2,703 1,276 Aug 31, 2012 #44 dada white said: Roots za ndevu zinazonichoma so akinyoa ndo balaa linakuwa kubwa haswa zikianza kuchomoza Click to expand... Basi mwambie awe anavaa mask! lol
dada white said: Roots za ndevu zinazonichoma so akinyoa ndo balaa linakuwa kubwa haswa zikianza kuchomoza Click to expand... Basi mwambie awe anavaa mask! lol
nyumba kubwa JF-Expert Member Oct 8, 2010 10,309 8,369 Aug 31, 2012 #45 Same here. Mi wangu anashave daily kwa kuwa zikinichoma nampa makavu live. Wakati mwingine hata mustachi unachoma kweli wakati wa kissing....mi nasemaga na yeye anajali hisia zangu. Yani nipate maumivu eti nivumilie hata hamu si itapotea? Kwani yeye anataka kumvutia nani zaidi yangu? Mi kama sipendi basi inabidi atii amri. Fixed Point said: kuna type ya nywele zinachoma kama sindano, kama pale kwangu na-prefer kusiwe na tofauti kati ya mwanaume na mwanamke Click to expand...
Same here. Mi wangu anashave daily kwa kuwa zikinichoma nampa makavu live. Wakati mwingine hata mustachi unachoma kweli wakati wa kissing....mi nasemaga na yeye anajali hisia zangu. Yani nipate maumivu eti nivumilie hata hamu si itapotea? Kwani yeye anataka kumvutia nani zaidi yangu? Mi kama sipendi basi inabidi atii amri. Fixed Point said: kuna type ya nywele zinachoma kama sindano, kama pale kwangu na-prefer kusiwe na tofauti kati ya mwanaume na mwanamke Click to expand...
K kilavo11 Member May 2, 2011 39 14 Sep 1, 2012 #46 Wengine wanapenda vimzuzu, tena wanavisifia kweli!!! wengine hawapendi hata kusikia duuh mapenzi bana!!!
Wengine wanapenda vimzuzu, tena wanavisifia kweli!!! wengine hawapendi hata kusikia duuh mapenzi bana!!!