Ndesamburo, Owenya wapeta Moshi


Wildcard,
Wanasema Volcano huwa haitokei ghafla vile tunavyoamini, bali huanza pole pole sana. Kwanza ardhi sehemu hiyo huanza kupata joto kidogo kidogo kisha joto kubwa hatimaye erruption hutokea.

Wilcard, naona na wewe umeanza kutoa joto kidogo kidogo muda sio mrefu uta errupt na kuwa volcano...........connecting the dots............
 
Kuna haja ya kuhakikisha katiba mpya inatoa uhuru kwa watu binafsi kujitokeza ama mmoja mmoja au kwa vikundi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa nje ya huu utaratibu wa sasa ambao unamlazimisha kila mtu kujiunga na magenge ya watu wanaojiita vyama vya siasa ili kupata uongozi. Huu utaratibu unatoa mwanya kwa watu wachache kuhodhi uamuzi wa nani anaweza kupata nafasi za uongozi na mara nyingi "charity begins at home".
 
Ivi hii habari ya lini au mmekosa propaganda za kuiponda chadema
 
chagga stand up.... ha ha ha..magwanda na nurse wao slaa wana taabu kwelikweli... bado hawara wa slaa anaesema mke wake kupewa viti maalum chadema...padri matata yule....
 

Umemsahau Nape, Mwinyi na Malima, Makongoro NK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…