Hizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.
Naona sasa tumeanza kupata sura nyingine ya Tanzania... maana pia mimi jana nimekutana na wanajeshi huku mkoani nilipo..ni wengi kama siafu wanapita mtaani wakiwa wamebeba bendera nyekundu sijui wanaenda wapi. Mungu atunusuru maana naona kuna mtu huenda hajui anachofanya