mh! these are training jets (trainers) and not fighter jets....unless tuliuziwa mbuzi kwenye gunia kwani kwa muonekano tu hizi ata speed yake inaweza kua march 0.5 so haziwez kua wala kwenda kwa supersonic speed na mandege dizaini hii na rangi yake ni kwakujifunzia tu japo na yenyewe yanabeba payload za silaha kwa kujifunzia