Taliban hawana air defence system. Drones zile zinaonekana kwa macho zikiwa attitude ndogo hasa ikishuka kidogo kushambulia ila hujui inaenda kushambulia wapi na kwa kesi kama ile wanakula timing wanasubiri muda wa kulala, magaidi wakiwa kwenye vikao ili wafe wengi au adui yuko safarini ndio wanashambulia. Mara kadhaa raia miji korofi ya Kiarabu huwa wanaziona drones zinapita hadi watoto mitaa hiyo huwa wanajua milio yake.
Kwanza Taliban wana makubaliano na Marekani kwamba hawatakuwa wanahost magaidi, ndio maana Taliban ilitoa tamko la kudai haikujua kama huyo kiongozi alikuwa mjini Kabul.