mangosutu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 684 Reaction score 955 Oct 15, 2013 #1 wadau natanguliza salamu kwenu naomba kujulishwa kama ndc (national development cooperation) kama tayari wameshawaita watu katika interview.
wadau natanguliza salamu kwenu naomba kujulishwa kama ndc (national development cooperation) kama tayari wameshawaita watu katika interview.
PLL JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 882 Reaction score 400 Oct 16, 2013 #2 Interview ip tena jaman?ilitangazwa ln?c walifanyaga mwaka jana cjui..ebu nieleweshe basi
mangosutu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 684 Reaction score 955 Oct 16, 2013 Thread starter #3 PLL said: Interview ip tena jaman?ilitangazwa ln?c walifanyaga mwaka jana cjui..ebu nieleweshe basi Click to expand... deadline ilikuwa mwezi uliopita, walitangaza principal engineer in metallurgy, chief of material etc
PLL said: Interview ip tena jaman?ilitangazwa ln?c walifanyaga mwaka jana cjui..ebu nieleweshe basi Click to expand... deadline ilikuwa mwezi uliopita, walitangaza principal engineer in metallurgy, chief of material etc
E erickyy Member Joined Jan 7, 2013 Posts 25 Reaction score 2 Oct 17, 2013 #4 Mara nyingi inakuwaga mwez wa kumi na moja tar za mwazoni....maana kiwanda tar 9 mwezi wa 12 ndyo JK ANAKUJA FUNGUA MAANA JUZI NDYO ALITOKA EKA JIWE LA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA MAABARA PALE KWENYE BIOLARVICIDE PLANT.. KIBAHA TAMCO
Mara nyingi inakuwaga mwez wa kumi na moja tar za mwazoni....maana kiwanda tar 9 mwezi wa 12 ndyo JK ANAKUJA FUNGUA MAANA JUZI NDYO ALITOKA EKA JIWE LA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA MAABARA PALE KWENYE BIOLARVICIDE PLANT.. KIBAHA TAMCO