Inatisha kweli?Leta na kashata tatu
Kijana acha ujinga, kojoa ulale!Huwezi kula kashata huku ukiwa unaiangalia hiyo clip, unless wewe ni daktari, nesi ama mtu wa mochwari
Leta na kashata tatu
Yaani mtu alipita pembeni ya kaburi akasikia kelele toka kaburini! Duuuh, hata haiingii akilini.
Mtu kafukiwa na kilo kadhaa za udongo, sauti ingesikika vipi nje ya kaburi?
Tahadhari, USIFUNGUE VIDEO KAMA HUWEZI VUMILIA PICHA ZA KUTISHA.
____
Inasemekana alikufa, kisha akazikwa, akalala kaburini siku mbili...
Kumbe alikuwa hajafa...
Huenda alizimia...
Au moyo ulisimama kwa muda.
Siku mbili baada ya kuzikwa, mtu alipita pembeni ya Kaburi...
akasikia kelele kubwa anaomba msaada...
jamaa akachimbua kaburi akamtoa...
____
Basi hiyo hali yake baada ya siku 2 tu za kaburini.
Mytake:-
Tujitathmini, tutende yaliyo mema.
View attachment 1150839