[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Panda magari ya temeke, mtanange uanze wa konda na mwanamke wa temeke, utafurahi sana.
Matusi yote mjini utayasikia. Jana tu nilikuwa naelekea huko, sasa wakapanda wanawake watatu.
Konda akawaambia wasogee nyumaa, weeeee... Hayo majibu si ya Nchi hii.
Dereva akaingilia ugomvi bhana, aliambia akae atulie ayachome mapu.mbu yake hapo, mara ndio maana hata nguvu madereva hamna , pumb.u zishakwishaaa, mkija nyumban kitandani hamuwezi ... Mmoja akadakia akasema ndo mana kuchepuka siachii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu hamna, kwanza kibamia, na pesa yenyewe matatizo matupuuu.
Acha wenye uwezo wanisuguee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Uzuri wa daladala za huku, hata abiria nao wanachekeleaa, yani fulu uswazi.
Niliacha mtanange unaendelea niliposhuka kwenye kituo changu.
Tekeme, mbagala ndo uswazi haswaa, cheza uchi bado zipoooo
Nataman nirudi tena
Hiyo profile picture yako nimeipenda kwakweli kipenz[emoji8]nilitaka nkufanyie suprise bby siku ukikabidhi gar
shilawadu[emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniudhi sana, kwanini hukwenda mpaka mwisho wa daladala?
Matokeo yake umetupa story nusu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shilawadu[emoji125] [emoji125]
asante kipenzi mm sijpenda hyo yako ibadilHiyo profile picture yako nimeipenda kwakweli kipenz[emoji8]
Anipe hilo jibuu mbona nampima tezi dume publicAu mwenye stress akukanyage umwambie....atakutolea povu SI UPANDE TAXI!!!!!
Nilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
hahaaa..mnanini lakini """!?Yani makwapa ni habari ingine. Unakuta ni asubuhi mtu kwapa linatoa harufu kama hajaoga siku 3. Nawazaga watu wanaolala nao wanavumiliaje
😀😡😡 Labda liwe siyo lile la kutoka kivukoni hadi gongolamboto, maana sijawahi ona usafiri wa karaha kama ule;Dah..mie nikisikiaga baridi...natafuta daladala lililojaa sana na lenye njia yenye foleni kubwa....halafu najisikia poa sana 😀😀😀😀😀
Panda magari ya temeke, mtanange uanze wa konda na mwanamke wa temeke, utafurahi sana.
Matusi yote mjini utayasikia. Jana tu nilikuwa naelekea huko, sasa wakapanda wanawake watatu.
Konda akawaambia wasogee nyumaa, weeeee... Hayo majibu si ya Nchi hii.
Dereva akaingilia ugomvi bhana, aliambia akae atulie ayachome mapu.mbu yake hapo, mara ndio maana hata nguvu madereva hamna , pumb.u zishakwishaaa, mkija nyumban kitandani hamuwezi ... Mmoja akadakia akasema ndo mana kuchepuka siachii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu hamna, kwanza kibamia, na pesa yenyewe matatizo matupuuu.
Acha wenye uwezo wanisuguee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Uzuri wa daladala za huku, hata abiria nao wanachekeleaa, yani fulu uswazi.
Niliacha mtanange unaendelea niliposhuka kwenye kituo changu.
Tekeme, mbagala ndo uswazi haswaa, cheza uchi bado zipoooo
Nataman nirudi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeh ni hatari sana, safari ikiwa ndefu waweza kumbuka matatizo yanayokukabili na kuanza kulia bila aibu kumbe kwapa ndio chanzo
Nakula huku leo si unajua vyuma tenaBibie muda wa kula huu,
Tunavumilia mengi kwelihahaaa..mnanini lakini """!?
Hapo kwenye kuchungulia simu. Huwa naweka mwanga wa mwisho kabisa. Sasa nikiona mtu sielewi huwa najiachia zangu kuchat humu. Siku nimekaa na mtu nikaona anatumia fb nikasema hawez kuwa anaijua JF wacha nijimwaye. Kushtuka si namkuta na yeye yuko JF. Nilitahayari sasa sijui aliona ID yangu akanikaushia.Kero za daladala nisizozipenda
Jiran kuchungulia simu kila ninapoiwasha kusoma sms na kuperuz mitandaon
Kuegamiwa safari nzima daah
Wenye makwapa,mmekaa siti moja ila sasa mkono sijui anaunyanyuaje ukikaa kiboya unashtukia nguo bega moja limeloa jasho la kwapa
Mtu anaingia na mzigo hajakuomba umbebe anakubwagia tu
Konda kuchukua nauli kisha chenji anakwambia baadae,hio baadae ukidai anabisha haujampa pesa husika basi mwanzo wa malumbano
Unaingia ndan ya daladala unakuta kuna siti inatosha watu wawili ila aliyekaa kajitanua ukikaa hautosh ukimwambia ananuna na kusema asogee wapi utadhan gari lao hilo
Hapo kwenye kuchungulia simu. Huwa naweka mwanga wa mwisho kabisa. Sasa nikiona mtu sielewi huwa najiachia zangu kuchat humu. Siku nimekaa na mtu nikaona anatumia fb nikasema hawez kuwa anaijua JF wacha nijimwaye. Kushtuka si namkuta na yeye yuko JF. Nilitahayari sasa sijui aliona ID yangu akanikaushia.
Koh! Koh! Koh! Maneno yako yamenipalia [emoji4]Raha kusimama nyuma ya msambwanda, tatizo daladala inawahi kufika kituoni!
Sasa ndo mimi na huyo kijana. Yani tulikua tunashtukiana baada ya yeye kujua nimejua amenijua niko JFKuna mkaka nilimuona kwenye daladala anaperuzi JF full kujishtukia nikamwangalia sura na kumpotezea sijui kwann JF haimpi mtu uhuru wa kuchat hadharan,mie hata haus gel asiyemiliki simu simuamin kama hayupo humu,najificha tu[emoji23][emoji23]