Leo kuna mdada kwa macho yangu nimemuona kalitoa ziwa lake then akawa analichezea, mzee baba nikajivuta hadi siti ya karib yake huku mimate ikinitoka...kumbe alikuwa anamnyonyesha mtoto
Nje ya mada.
Siku moja nilikuwa natokea Tanga narudi zangu Dar kwenye Tashriff kuna mdada mmoja nilikuwa nae jirani, sasa kufika maeneo ya Chalinze kuna sehemu gari ilisimama, kuchimba dawa/misosi, unaambiwa kuelekea toi kumbe yule mdada nae kaja toi. unaambiwa ilibaki . bado kidogo nimwashe
Misambwanda inanibanaga sana mwendokasi. Huwa natuliza tu mashine na kusikilizia, akishuka mtu na yeye kusogeza msambwanda nawe unamsogezea, ila nafikiri nao wanategeshaga!
Kuna mkaka nilimuona kwenye daladala anaperuzi JF full kujishtukia nikamwangalia sura na kumpotezea sijui kwann JF haimpi mtu uhuru wa kuchat hadharan,mie hata haus gel asiyemiliki simu simuamin kama hayupo humu,najificha tu