Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
"lufundishana nacho ni kichaga?"Hii thread ni Maalum kwa MANGI wote waliopo Mjini. Tuendelee lufundishana Kichagga ni ile Misemo/Methali za Watu wa Kale ili kutunza Mila na Desturi zetu.
Kuna Misemo kama "Mokaa kacha nekenyo wa Tao"
"Kokumbuo Rumu, Shunga numba"
Na mingine Mingi.
Tupeane na Elimu juu ya Matumizi yA MSESEWE/NDAMANGO/MASALE/kikumbi/KIONDI/MAOMBO/KICHUMI. Kwa uchache.
Karibuni.
Wosia kwa maharusi kwa kichaga:
Ruwa, Fumvu lya Mku, Ruwa matengera, molunga mndo na soka nawatarame. Kanyi konyu kuware mbora na kyela. Mfee wana wawore mrima ikusalye. Mfee wana walawore ngoru. Mfee wana walekelya mbaka. Mrimbe cha kisumu kya mkonosi. Mndumii Ruwa nawareho mkuo kurusu. Mlaone makapa rende. Nawaringe na shitokosho. Mkarishie na mkutetere mpaka uvu lonyu na mlekane na mareko. Mamlawarime irumisha Mndumii Ruwa. Mkolemo rema nawi mochireka cha masembo. Maroko na matondo wechipariso ngonyi tzilangitoche, weraa unyamari mrasa riima la wandu wawapuchie mara ne waisela.
Marina gha mashinu (Majina ya wadudu):
matambaacha, ndoko, msorha, machongololo, nda, sawa, maghenje, makoru, ghughunu, mambo, safu, njuki, shipfi, ..........
Hii thread ni Maalum kwa MANGI wote waliopo Mjini. Tuendelee kufundishana Kichagga na ile Misemo/Methali za Watu wa Kale ili kutunza Mila na Desturi zetu.
Kuna Misemo kama "Mokaa kacha nekenyo wa Tao"
"Kokumbuo Rumu, Shinga numba"
Na mingine Mingi.
Tupeane na Elimu juu ya Matumizi ya MSESEWE/NDAMANGO/MASALE/kikumbi-kihenge/KIONDI/MAOMBO/MBAKA/MNDU MII/KICHUMI. Kwa uchache.
Karibuni.