Ndalichako hawafahamu "MASKINI:

umeandika vema sana
 
Unataka kuniambia huko diploma huwa hawafanyi mitihani ya kuchujwa na wasiofaa kutupwa nje??

Hebu kama una mtoto anaesoma au aliyekwisha kusoma chuo muulize kuhusu hao watu waliotokea diploma huwa wanakuwa vipi darasani?
Solution sio kufuta vyuo vinavyotoa certificate na diploma .solution ni kuwa na ufuatiliaji na uhakiki wa mara Kwa mara wa quality inayotolewa katika vyuo husika mimi mwenyewe ni mwanafunzi wa shahada ya uhandisi na tunasoma pia na wanafunzi waliotoka diploma na nakuhakikishia wako vizuri sana hata kivitendo kuliko hata wengi wetu tuliotoka advance
 
Unataka kuniambia huko diploma huwa hawafanyi mitihani ya kuchujwa na wasiofaa kutupwa nje??

Hebu kama una mtoto anaesoma au aliyekwisha kusoma chuo muulize kuhusu hao watu waliotokea diploma huwa wanakuwa vipi darasani?
Halafu watanzania tubadilike tuache ujinga wa kucomment vitu ambavyo hatuna uhakika navyo nani alikwambia kuwa mtu akienda chuo kupata stashahada basi kafeli si wote walioamua kusoma diploma walifeli mimi nimemaliza na watu kibao na walikuwa vichwa sana darasani na walifaulu sana mtihani wa kidato nne baada ya hapo wakaamua kuchukua diploma na Leo tuko nao vyuoni wanasoma udaktari, uhandisi ,uhasibu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…