Nimeamin waliyo sema wakosoaji wakuuKauli ya Ndalichako(kama kweli alisema hivyo) ya kwamba mwenye sifa ya kuingia chuo kikuu ni form six leaver tu, tena aliyefaulu, inavunja katiba ya nchi, sheria ya elimu ya mwaka 1978, Haki za binadamu, sheria za kimataifa(International laws) ambazo TZ ni mwanachama, Sera ya Elimu ya mwaka 2014, Ilani ya CCM(2015-2020), na miongozo mbalimbali ya elimu nchini. Mimi na mwana CCM hai. Napingana kabisa na kauli hiyo, kwasababu inawanyima haki watoto wa masikini wanaosoma shule za kata kupata haki ya kusoma chuo kikuu. Ata re-sit form 6 hadi lini? Kwa gharama ya nani? "Justice delayed is justice denied." Tuangalie hali halisi na tuwe wakweli. Huku vijijini ktk shule za kata walimu wachache, maabara hakuna, vitabu hakuna, umeme hakuna, maji shida, matibabu duni, pesa kwaajili ya ada na michango mbalimbali shida, matatizo mengi ya kifamilia kwasababu ya umasikini, nk. Hivyo ni vigumu sana vijana kufanya vizuri ktk mitahani yao. Sisi watu maskini equivalent qualification ya kuingia chuo kikuu ambayo ni diploma imetusaidia sana kuingia chuo kikuu. Tunapomaliza form 4 au 6 kama tumefeli, huanza kusomea taaluma ya "kazi" kwa kiwango cha certificate au diploma ili tujiendeleze huku tukiwa kazini. Kwahiyo, kauli yake hiyo imetoka kwenye kinywa cha "tajiri" anayeishi Masaki, asiyejua kuwa kuna masikini wengi ktk nchi hii, hasa vijiji. Hiyo kauli ikiachwa itekelezwe, itakuwa vigumu sana kwa sisi masikini kusoma vyuo vikuu. Na ikiwa hivyo masikini tutaenda kuipinga mahakamani. Tunapotoa kauli mbalimbali(executive orders) tuangalie hali halisi na haki za walio wengi, hasa masikini. Kifanyike nini: 1.TCU/NACTE kuweka cut-off GPA ya mwenye diploma kuingia chuo kikuu.
2.NACTE/TCU kufuatilia ubora wa utoaji elimu ktk vyuo vya kati na vyuo vikuu.
3. Vyuo vinavyotoa elimu ya kati visipandishwe hovyo kuwa vyuo vikuu. 4.Maamuzi/matamko mbalimbali,hasa yanayogusa haki na masilahi ya wengi yasitamkwe kwa mihemuko ya mtu moja(abuse of discretionaly powers),bali yawe ni tunda la maamuzi ya wengi/shirikishi(wadau, wataalamu na kamati mbalimbali ambazo zipo kisheria).
5.Uhuru wa mtu kuamua afikie malengo yake kwa njia ipi, ulindwe. 6.Kabla ya kutoa matamko tusome katiba ya nchi, sheria na sera mbalimbali ambazo zinagusa jambo hilo(Rule of Law).
7.Kutaka sifa na kujenga majina yetu mbele ya wateuzi, kusiwe chanzo cha kunyang'anya haki za masikini ambao hawana uwezo wa kujitetea.
Note: Ni kweli tunahitaji kuboresha elimu, lakini ktk kufanya hivyo tuzingatie katiba ya nchi, sheria ya elimu, sera ya elimu, maamuzi shirikisha, ilani/manifesto, kufanya tafiti kabla ya kutoa tamko.
Ni kweli kabisa mkii Ritz, hata mimi milipiga kelele sana kulitahadharisha hili.Acheni unafiki nyie sindiyo mlikuwa mnakesha JF kumuomba rais Magufuli amchague kuwa waziri.
Sisi tunamjua siku nyingi tuliwambia kuwa huyu dada ana matatizo mlitushambulia sana.
Tulieni sasa mnalia lia nini.
Ni kweli kabisa mkuu Ritz, hata mimi milipiga kelele sana kulitahadharisha hili.
Hili ndilo jibu pekee kua aliwaonea vijana wa kiislamu makusudi, JK alimjua kua ni mtu wa visasi na mbishi sana sana ndio maana akamtoa. Watu wa aina hii JK alikua akiwafahamu vizuri na hakucheka nao.Sasa Mkuu kaingia anahisi alichezewa rafu, sasa ngoja amharibie na amjengee taswira mbovu.
Unataka kuniambia huko diploma huwa hawafanyi mitihani ya kuchujwa na wasiofaa kutupwa nje??Mi naona mama yuko sawa haiwezekani mtu ana D NNE yaani div 4 mbovu.....aunge unge cert aje Diploma halafu apate degree,,huku kidato cha NNE alipata alama mbovuuu.....
Mkuu,, hapo mim sina cha kuongeza umenena yooote sawia,,Kauli ya Ndalichako(kama kweli alisema hivyo) ya kwamba mwenye sifa ya kuingia chuo kikuu ni form six leaver tu, tena aliyefaulu, inavunja katiba ya nchi, sheria ya elimu ya mwaka 1978, Haki za binadamu, sheria za kimataifa(International laws) ambazo TZ ni mwanachama, Sera ya Elimu ya mwaka 2014, Ilani ya CCM(2015-2020), na miongozo mbalimbali ya elimu nchini. Mimi na mwana CCM hai. Napingana kabisa na kauli hiyo, kwasababu inawanyima haki watoto wa masikini wanaosoma shule za kata kupata haki ya kusoma chuo kikuu. Ata re-sit form 6 hadi lini? Kwa gharama ya nani? "Justice delayed is justice denied." Tuangalie hali halisi na tuwe wakweli. Huku vijijini ktk shule za kata walimu wachache, maabara hakuna, vitabu hakuna, umeme hakuna, maji shida, matibabu duni, pesa kwaajili ya ada na michango mbalimbali shida, matatizo mengi ya kifamilia kwasababu ya umasikini, nk. Hivyo ni vigumu sana vijana kufanya vizuri ktk mitahani yao. Sisi watu maskini equivalent qualification ya kuingia chuo kikuu ambayo ni diploma imetusaidia sana kuingia chuo kikuu. Tunapomaliza form 4 au 6 kama tumefeli, huanza kusomea taaluma ya "kazi" kwa kiwango cha certificate au diploma ili tujiendeleze huku tukiwa kazini. Kwahiyo, kauli yake hiyo imetoka kwenye kinywa cha "tajiri" anayeishi Masaki, asiyejua kuwa kuna masikini wengi ktk nchi hii, hasa vijiji. Hiyo kauli ikiachwa itekelezwe, itakuwa vigumu sana kwa sisi masikini kusoma vyuo vikuu. Na ikiwa hivyo masikini tutaenda kuipinga mahakamani. Tunapotoa kauli mbalimbali(executive orders) tuangalie hali halisi na haki za walio wengi, hasa masikini. Kifanyike nini: 1.TCU/NACTE kuweka cut-off GPA ya mwenye diploma kuingia chuo kikuu.
2.NACTE/TCU kufuatilia ubora wa utoaji elimu ktk vyuo vya kati na vyuo vikuu.
3. Vyuo vinavyotoa elimu ya kati visipandishwe hovyo kuwa vyuo vikuu. 4.Maamuzi/matamko mbalimbali,hasa yanayogusa haki na masilahi ya wengi yasitamkwe kwa mihemuko ya mtu moja(abuse of discretionaly powers),bali yawe ni tunda la maamuzi ya wengi/shirikishi(wadau, wataalamu na kamati mbalimbali ambazo zipo kisheria).
5.Uhuru wa mtu kuamua afikie malengo yake kwa njia ipi, ulindwe. 6.Kabla ya kutoa matamko tusome katiba ya nchi, sheria na sera mbalimbali ambazo zinagusa jambo hilo(Rule of Law).
7.Kutaka sifa na kujenga majina yetu mbele ya wateuzi, kusiwe chanzo cha kunyang'anya haki za masikini ambao hawana uwezo wa kujitetea.
Note: Ni kweli tunahitaji kuboresha elimu, lakini ktk kufanya hivyo tuzingatie katiba ya nchi, sheria ya elimu, sera ya elimu, maamuzi shirikisha, ilani/manifesto, kufanya tafiti kabla ya kutoa tamko.
Ndalichako ana mume? Isijekuwa ana stressss, maprofesa kibao wameanza kufundisha shule za msingi, majaji wengi wameanza kuwa na vicertificate huko mwanzoni.Kauli ya Ndalichako(kama kweli alisema hivyo) ya kwamba mwenye sifa ya kuingia chuo kikuu ni form six leaver tu, tena aliyefaulu, inavunja katiba ya nchi, sheria ya elimu ya mwaka 1978, Haki za binadamu, sheria za kimataifa(International laws) ambazo TZ ni mwanachama, Sera ya Elimu ya mwaka 2014, Ilani ya CCM(2015-2020), na miongozo mbalimbali ya elimu nchini. Mimi na mwana CCM hai. Napingana kabisa na kauli hiyo, kwasababu inawanyima haki watoto wa masikini wanaosoma shule za kata kupata haki ya kusoma chuo kikuu. Ata re-sit form 6 hadi lini? Kwa gharama ya nani? "Justice delayed is justice denied." Tuangalie hali halisi na tuwe wakweli. Huku vijijini ktk shule za kata walimu wachache, maabara hakuna, vitabu hakuna, umeme hakuna, maji shida, matibabu duni, pesa kwaajili ya ada na michango mbalimbali shida, matatizo mengi ya kifamilia kwasababu ya umasikini, nk. Hivyo ni vigumu sana vijana kufanya vizuri ktk mitahani yao. Sisi watu maskini equivalent qualification ya kuingia chuo kikuu ambayo ni diploma imetusaidia sana kuingia chuo kikuu. Tunapomaliza form 4 au 6 kama tumefeli, huanza kusomea taaluma ya "kazi" kwa kiwango cha certificate au diploma ili tujiendeleze huku tukiwa kazini. Kwahiyo, kauli yake hiyo imetoka kwenye kinywa cha "tajiri" anayeishi Masaki, asiyejua kuwa kuna masikini wengi ktk nchi hii, hasa vijiji. Hiyo kauli ikiachwa itekelezwe, itakuwa vigumu sana kwa sisi masikini kusoma vyuo vikuu. Na ikiwa hivyo masikini tutaenda kuipinga mahakamani. Tunapotoa kauli mbalimbali(executive orders) tuangalie hali halisi na haki za walio wengi, hasa masikini. Kifanyike nini: 1.TCU/NACTE kuweka cut-off GPA ya mwenye diploma kuingia chuo kikuu.
2.NACTE/TCU kufuatilia ubora wa utoaji elimu ktk vyuo vya kati na vyuo vikuu.
3. Vyuo vinavyotoa elimu ya kati visipandishwe hovyo kuwa vyuo vikuu. 4.Maamuzi/matamko mbalimbali,hasa yanayogusa haki na masilahi ya wengi yasitamkwe kwa mihemuko ya mtu moja(abuse of discretionaly powers),bali yawe ni tunda la maamuzi ya wengi/shirikishi(wadau, wataalamu na kamati mbalimbali ambazo zipo kisheria).
5.Uhuru wa mtu kuamua afikie malengo yake kwa njia ipi, ulindwe. 6.Kabla ya kutoa matamko tusome katiba ya nchi, sheria na sera mbalimbali ambazo zinagusa jambo hilo(Rule of Law).
7.Kutaka sifa na kujenga majina yetu mbele ya wateuzi, kusiwe chanzo cha kunyang'anya haki za masikini ambao hawana uwezo wa kujitetea.
Note: Ni kweli tunahitaji kuboresha elimu, lakini ktk kufanya hivyo tuzingatie katiba ya nchi, sheria ya elimu, sera ya elimu, maamuzi shirikisha, ilani/manifesto, kufanya tafiti kabla ya kutoa tamko.
Mkuu kwani watu wakitambua kosa lao wakajirudi kuna ubaya gani? Walimdhania ndiye sasa ametokea kuwa siye wasiseme?Acheni unafiki nyie sindiyo mlikuwa mnakesha JF kumuomba rais Magufuli amchague kuwa waziri.
Sisi tunamjua siku nyingi tuliwambia kuwa huyu dada ana matatizo mlitushambulia sana.
Tulieni sasa mnalia lia nini.
Wenye digrii za foundation course utwajua tuuKauli ya Ndalichako(kama kweli alisema hivyo) ya kwamba mwenye sifa ya kuingia chuo kikuu ni form six leaver tu, tena aliyefaulu, inavunja katiba ya nchi, sheria ya elimu ya mwaka 1978, Haki za binadamu, sheria za kimataifa(International laws) ambazo TZ ni mwanachama, Sera ya Elimu ya mwaka 2014, Ilani ya CCM(2015-2020), na miongozo mbalimbali ya elimu nchini. Mimi na mwana CCM hai. Napingana kabisa na kauli hiyo, kwasababu inawanyima haki watoto wa masikini wanaosoma shule za kata kupata haki ya kusoma chuo kikuu. Ata re-sit form 6 hadi lini? Kwa gharama ya nani? "Justice delayed is justice denied." Tuangalie hali halisi na tuwe wakweli. Huku vijijini ktk shule za kata walimu wachache, maabara hakuna, vitabu hakuna, umeme hakuna, maji shida, matibabu duni, pesa kwaajili ya ada na michango mbalimbali shida, matatizo mengi ya kifamilia kwasababu ya umasikini, nk. Hivyo ni vigumu sana vijana kufanya vizuri ktk mitahani yao. Sisi watu maskini equivalent qualification ya kuingia chuo kikuu ambayo ni diploma imetusaidia sana kuingia chuo kikuu. Tunapomaliza form 4 au 6 kama tumefeli, huanza kusomea taaluma ya "kazi" kwa kiwango cha certificate au diploma ili tujiendeleze huku tukiwa kazini. Kwahiyo, kauli yake hiyo imetoka kwenye kinywa cha "tajiri" anayeishi Masaki, asiyejua kuwa kuna masikini wengi ktk nchi hii, hasa vijiji. Hiyo kauli ikiachwa itekelezwe, itakuwa vigumu sana kwa sisi masikini kusoma vyuo vikuu. Na ikiwa hivyo masikini tutaenda kuipinga mahakamani. Tunapotoa kauli mbalimbali(executive orders) tuangalie hali halisi na haki za walio wengi, hasa masikini. Kifanyike nini: 1.TCU/NACTE kuweka cut-off GPA ya mwenye diploma kuingia chuo kikuu.
2.NACTE/TCU kufuatilia ubora wa utoaji elimu ktk vyuo vya kati na vyuo vikuu.
3. Vyuo vinavyotoa elimu ya kati visipandishwe hovyo kuwa vyuo vikuu. 4.Maamuzi/matamko mbalimbali,hasa yanayogusa haki na masilahi ya wengi yasitamkwe kwa mihemuko ya mtu moja(abuse of discretionaly powers),bali yawe ni tunda la maamuzi ya wengi/shirikishi(wadau, wataalamu na kamati mbalimbali ambazo zipo kisheria).
5.Uhuru wa mtu kuamua afikie malengo yake kwa njia ipi, ulindwe. 6.Kabla ya kutoa matamko tusome katiba ya nchi, sheria na sera mbalimbali ambazo zinagusa jambo hilo(Rule of Law).
7.Kutaka sifa na kujenga majina yetu mbele ya wateuzi, kusiwe chanzo cha kunyang'anya haki za masikini ambao hawana uwezo wa kujitetea.
Note: Ni kweli tunahitaji kuboresha elimu, lakini ktk kufanya hivyo tuzingatie katiba ya nchi, sheria ya elimu, sera ya elimu, maamuzi shirikisha, ilani/manifesto, kufanya tafiti kabla ya kutoa tamko.
Kama wamekanusha taarifa ile kuwa hakumananisha hivyo basi ni jambo jema. Kanusho hilo kama lipo basi lisambazwe kwenye vyombo vya habari mbalimbali ili wananchi tujue.Mnapopata fursa ya kuingia jf mnatakiwa msome kwanza habari zilizopita na sio kuanza tu kuanzisha uzi.
Unaendelea kujadili kitu ambacho tayari kimetolewa ufafanuzi na kufahamika kuwa kilipotoshwa.. Watanzania sijui mmekumbwa na nini?
Hiyo si solution kama ni hivyo ni kuongeza kiwango cha ufaulu ili kujiunga na certificate ..Mi naona mama yuko sawa haiwezekani mtu ana D NNE yaani div 4 mbovu.....aunge unge cert aje Diploma halafu apate degree,,huku kidato cha NNE alipata alama mbovuuu.....
Fallacy of generalization. It is your misconception. Nimemaliza Form 6, tena PCB. Sijawahi unga hata siku moja. Lakini any reasoble and fair minded person lazima aangalie na kuzingatia haki za wengi, hasa wanyonge(voice of the voiceless).I am of that calibre.Wenye digrii za foundation course utwajua tuu
Mi nachojua diploma ngumu ni ya ualimu tu...hizo zingine mnapewaga tu.....Unataka kuniambia huko diploma huwa hawafanyi mitihani ya kuchujwa na wasiofaa kutupwa nje??
Hebu kama una mtoto anaesoma au aliyekwisha kusoma chuo muulize kuhusu hao watu waliotokea diploma huwa wanakuwa vipi darasani?