Nchi yetu tanzania

chrome

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2011
Posts
402
Reaction score
444
Habari zenu wana Jf..hivi sisi watanzania nini hatma ya nchi yetu?Umeme bei imepanda kukatika ndio usiseme,vyakula bei juu, hospital rushwa imetawala kila kona,elimu mbovu,hata burudan na taarifa za habari tumezuiwa kuangalia kwa ujanja wa m2 kuanzisha biashara ya ving'amuz...kazi hakuna, kila m2 anajifunza kuiba kwa kuwakandamiza wanyonge.!je hili ni kosa letu kwa kuwaweka CCM MADARAKANI?Au ni ufaham wetu mfupi kuhusu kanga na ubwabwa wanaopewa siku za kampen..?watez wenye hoja za maana bungen wanapuuzwa, matokeo tunayapata lakini bado vichwa vgum..I LOV AFRICA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…