Nachoamini ni kuwa, Unaweza kufanikiwa saana tu, ukawapeleka wengine jela kwa njia ya uwongo na pengine ukajipatia umaarufu mkubwa kwa kuwafanyia ubaya walioko juu yako ili uwe juu
Unaweza kumfanyia fitina boss wako kwa kuitaka hiyo nafasi kwa mbinu mbalimbali na ukafanikiwa,, Lakini amini usiamini, Huo ubaya ni lazima ukurudie soon
ndivyo ilivyo,