Nchi ya Kufikirika....

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Hakika niliposikia suala la Fastjet kufungiwa nilishangaa sana lakini nikajua kabisa Hii jamaa kaona ndo njia sahihi ya Kupata abiria wengi na maana halisi ya Vita ya uchumi.. Lakini sijui ni laaana maana Sasa ATCL wameonekana wanatoa huduma Mbovu kuliko Fastjet... Kimsingi hakuna shirika la Ndege lililo perfect lakini Mapungufu mengine yanazidi kipimo.. Kuwafukuza Fastjet hakutawaacha ATCL salama hata kidogo na hii dhambi itawatafuna mpaka wananchi maana shida ya usafiri wa Anga itaongezeka mara dufu na Hapo Uhujumu na uuzaji wa ticket kwa rushwa utaongezeka Zaidi maana Uhijataji utakuwa Mkubwa... Too bad hii biashara ATCL inaweza kuja kuwashinda hasa kwenye suala la operation cost ndo maana wanaenda Kienyejii tu kukwepa gharama hapo ndo Watanzania Wataangalia nyuma na Kuwakumbuka Fastjet ambao wengi wetu tumeshangilia Kutimuliwa kwao...!!


NB:LAANA NA MANUNG'UNIKO YA FASTJET HAITAIACHA ATCL SALAMAA NI SUALA LA MUDA TU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…