Habarini za muda huu wana jukwaa,nianze kwa kuwatakia kheri ya sikukuu ya x-mass.
Ningependa kujua zaidi kuhusu nchi ya hungary,maisha yao,miji mizuri kuishi,chakula,culture,nk nk
Karibuni sana kwa michango yenu!

Hii ni nchi inayopakana kusini mwa mkoa wa mjini magharibi unguja ambapo upo pembezoni mwa wilaya ya katavi ndani ya mkoa wa Manyara nchini Ghana koloni la zamani la Msumbiji