ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
yaani wewe kupewa ajira na ABDUL ndiyo unaona kila mtu TZ ana maisha rahisi? Zunguka ujionee siyo umejifungia mikocheni na bando la bure kutoka kwa ABDUL unachukulia life simple.1.Libya
2.Egypt
3.Madagasca
4.Rwanda
5.Tanzania.
My Take
Kati ya Nchi zote hapo Juu hakuna hata Moja inayoifikia Tanzania Kwa unafuu wa Maisha.Waliopanga jedwali wakapange upya.
Mwisho pamoja na huu ukweli Cha ajabu Machadema watabisha.
View: https://www.instagram.com/p/DUzuc3TCOPO/?igsh=NXM0M3o3dW5wdWsw
Watz mna maneno makali, punguzeni basi mnatesa machawa 😂😂yaani wewe kupewa ajira na ABDUL ndiyo unaona kila mtu TZ ana maisha rahisi? Zunguka ujionee siyo umejifungia mikocheni na bando la bure kutoka kwa ABDUL unachukulia life simple.
Yani ukishajaza tumbo na huna hela mfukoni huoni ni upuuziKwa upande wa chakula Tanzania haina mpinzani kwa urahisi. Yaani ni nchi ambayo chakula ni sawa na bure. Bei rahisi mno.
Andika uelewekeYani ukishajaza tumbo na huna hela mfukoni huoni ni upuuzi
Huwa naamini kuwa kichwani kwako Kuna mbegu za mabuyu1.Libya
2.Egypt
3.Madagasca
4.Rwanda
5.Tanzania.
My Take
Kati ya Nchi zote hapo Juu hakuna hata Moja inayoifikia Tanzania Kwa unafuu wa Maisha.Waliopanga jedwali wakapange upya.
Mwisho pamoja na huu ukweli Cha ajabu Machadema watabisha.
View: https://www.instagram.com/p/DUzuc3TCOPO/?igsh=NXM0M3o3dW5wdWsw
Wewe mwanamke vipi kubishana na wanaumeAndika ueleweke
Kasongo tuliaAndika ueleweke
Ni mbegu mujarabu kabisa hizoHuwa naamini kuwa kichwani kwako Kuna mbegu za mabuyu
Sio tuu chakula Kwa vitu vingi,hizo index hapo ni average ya items kadhaa na food ikiwemo.Kwa upande wa chakula Tanzania haina mpinzani kwa urahisi. Yaani ni nchi ambayo chakula ni sawa na bure. Bei rahisi mno.
Nenda egypt kisha ndio ulete uzi wa majibu. Unaijua egypt wewe? Urahisi wa maisha pale upo wapi?1. Libya
2. Egypt
3. Madagascar
4. Rwanda
5. Tanzania.
My Take
Kati ya Nchi zote hapo Juu hakuna hata Moja inayoifikia Tanzania Kwa unafuu wa Maisha.Waliopanga jedwali wakapange upya.
Mwisho pamoja na huu ukweli Cha ajabu Machadema watabisha.
View: https://www.instagram.com/p/DUzuc3TCOPO/?igsh=NXM0M3o3dW5wdWsw
Chakula gani kinaliwa Egypt, Morocco, Tanzania au South Africa ndiyo ulinganishe baadaye.Kwa upande wa chakula Tanzania haina mpinzani kwa urahisi. Yaani ni nchi ambayo chakula ni sawa na bure. Bei rahisi mno.
Sio Mimi nimeandika hiyo article,ungesoma Hadi mwisho usingeniuliza Hilo swali maana hata Mimi nimeonesha wasiwasi mkubwa.Nen
Nenda egypt kisha ndio ulete uzi wa majibu. Unaijua egypt wewe? Urahisi wa maisha pale upo wapi?
Wewe mjinga vyakula vinavyoeleweka kwako ndo yale matakataka ya KFC na McDonald's? Ficha upumbavu wako.Chakula gani kinaliwa Egypt, Morocco, Tanzania au South Africa ndiyo ulinganishe baadaye.
Unalinganisha mama ntilie/chips mayai na vyakula vinavyoeleweka? Au raw foods?
🚮🚮yaani wewe kupewa ajira na ABDUL ndiyo unaona kila mtu TZ ana maisha rahisi? Zunguka ujionee siyo umejifungia mikocheni na bando la bure kutoka kwa ABDUL unachukulia life simple.
Vyakula dunia ni Organic ,hayo ma GMO/Fast Food ni takataka na ni rahisi mno hata nje ya TZ.Wewe mjinga vyakula vinavyoeleweka kwako ndo yale matakataka ya KFC na McDonald's? Ficha upumbavu wako.