unafikiri upinzani ni CDM tuu....ndio maana wapinzani wanaona mna ajenda yenu ya UKABILA..sasa cdm kuiunga mkono CUF ni laana..na ukweli ni kwamba CUF ina nguvu TABORA kuliko CDM..
<br />
<br />
Sitaki kuwahukumu Nccr kwa hatua yao hiyo yakujitoa na hata ukiangalia kwa Hoja na kwa vitendo bungeni kuna ushirikiao dhahiri kati ya wabunge wa Chadema na nccr na mie niwasihi viongozi wajuu wa nccr wasivuruge haya mashirikiano naamini kabisa Kwa Maslahi na Manufaa ya Bunge na upinzani nccr waiunge mkono cdm ili kuongeza nguvu Bungeni,hakutakuwa na faida yoyote yakuisapoti cuf coz washakataa ushirikiano kama kambi ya upinzani though nccr walikataa pia lakini kivitendo ni tofauti ukicompare na cuf, waachane na hawa wanafiki wa cuf wiliofunga ndoa na ccm iwapo Makao makuu(nccr)wakiunga mkono cuf basi watakuwa ni wanafiki na usaliti kwa wabunge wake.Em tufafanulie kidogo Mkuu ukabila unaingia vipi hapa?au ni matokeo yakutumia Masuburi katika kufikiri.