Hawa ni ndumilakuwili tu,
<br />Zaidi ya ndumilakuwili, Eti kawe wana kesi na Mdee halafu igunga eti wanataka upinzani kwani mdee ni ccm?
Wadau,
CUF leo wamemtangaza mgombea ubunge wao wa jimbo la Igunga, cha kushangaza leo leo NCCR nao wanajitokeza na kusema wao wataunga mkono mgombea wa upinzani atakayesimamishwa, Najiuliza hapa hakuna mchezo mchafu wanaoupanga dhidi ya chama cha kweli cha ukombozi wa Tanzania (cdm) ili badae wakisimamisha ionekane anavuruga upinzani? Wadau nyie mwalionaje hili?
Isije ikawa wamenunuliwa na CUF. Maanake hawa nccr kwa manunuzi ni moto wa kuotea mbali. Mfano hai ni kule Ngara jamaa walinunuliwa sana.ukweli ni huu..
1.hawana hela ya uchaguzi
2.hata wakigombea hawatapata kura 100.
Wadau,
CUF leo wamemtangaza mgombea ubunge wao wa jimbo la Igunga, cha kushangaza leo leo NCCR nao wanajitokeza na kusema wao wataunga mkono mgombea wa upinzani atakayesimamishwa, Najiuliza hapa hakuna mchezo mchafu wanaoupanga dhidi ya chama cha kweli cha ukombozi wa Tanzania (cdm) ili badae wakisimamisha ionekane anavuruga upinzani? Wadau nyie mwalionaje hili?
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi Samuel Ruhuza, amesema chama chake kutoshiriki uchaguzi katika jimbo la Igunga.
Amesema wameamua kufanya hivyo hili kutoa nafasi kwa upinzani kushinda jimbo hilo, wamehofia kuzigawa kura za upinzani.
SOURCE: ITV NEWS
Ndugu CUF si chama cha upinzani.unafikiri upinzani ni CDM tuu....ndio maana wapinzani wanaona mna ajenda yenu ya UKABILA..sasa cdm kuiunga mkono CUF ni laana..na ukweli ni kwamba CUF ina nguvu TABORA kuliko CDM..
kaka umenena na wala si ushabiki - hata ningengombea mimi kwa tiketi ya CDM ningepita tu - alama za nyakati.Vyovyote iwavyo, CDM itasimamisha mgombea na ataibuka kidedea! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees, Power!