NCAA - LODUARE GATE waweke simu ya landline!

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
559
Reaction score
1,038
Hata kama kuna changamoto ya milika haingii akilini geti lililo bize kuliko mageti yote kwa kupisha Watalii eti halina simu.

Ukitaka kupiga simu ni hadi utafute simu za watu binafsi na kwa kuwa wana hamishwa hamishwa ni usumbufu mkubwa kwa wanaopitisha wageni.

WAWEKE HATA SIMU INAYOTUMIA MTANDAO -WhatApp Ila muhimu zaidi, SIMU IKIWEKWA na IPOKELEWE !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…