Ahsante mkuu MM,
Ila hilo tangazo nimeanza kuliona katika website ya NBC tangu mwezi May mwaka jana au kabla ya hapo.Sasa sijui ni kuwa hawajapata watu wanaoqualify kwa post hizo au ni 'uzito' wa IT department yao katika kupiga msasa web yao.

wats up with institutions in bongo wanting 7 to 10yrs experience?? (at least 3yrs inaeleweka) ..mtu ambaye ana 10yr experience hana time ya ku move , madeni na majukumu kibao... this is discouraging for young educated individuals.
Applicant Details
Surname:
Fore name (s):
Title (Mr./ Mrs./ Miss/Ms): ID/ Passport/ Voter's Number: Tribe: Date of Birth:
What did you study at University? Current telephone contact:
Date/ year you graduated:
Alternative telephone contact (Family/ Friend):
Wakuu sikuhizi tunaulizana makabila??? nini hasa lengo? nimeikuta kwenye fomu yao!
Duh! ebwana ee! mbona mnatuzingua wazee hizo Qualifications na experience za Banks zinatisha yaani wanataka mtu mwenye uzoefu wa miaka 7 hadi 10 Hapa si wanataka wazee sasa freshers watafanyakazi wapi.Hebu waajiri waache unyanyasaji