wadau naomba mwenye taazifa juu ya hili anijuze!!! Kuna uvumi kuwa huwenda huu ndo ukawa mwezi wa mwisho wa mkataba wa waajiriwa wa muda wa nbc waliokuwa chini ya Erolink coz benk imemaliza restructuring iliyokuwa inaifanya baada ya kununuliwa na Bacrays kutoka ABSA, nina dogo langu lipo mwaka wa pili sasa anarenew mkataba kila baada ya miezi mitatu..... Bado hajaambiwa rasmi ila anafuraha kuwa anaachana na wanyanyasaji Erolink tho matumaini ya ajira NBC ni madogo!!!! Mwenye taazifa juu ya hili anijuze!!!! Thax.
Oh! Kaka Maege, ulipotelea wapi ndugu? Nimefurahi sana kuona uzi wako leo. Uliacha historia kwenye uzi fulani wa mwaka jana. Sidhani kama kuna mtu kaivunja historia ile.
Sina updates za uzi wa leo ila JF ni kila kitu. Majibu yatapatikana. Ahsante.
hakuna permanent cotract hata ulifanya nao zaidi ya miezi sita kama sheria inavyosema, dogo kapiga kazi miaka miwili sasa ila bado ni tempo (kufanikisha hilo unarenew contract ever after 3 mnths na mengine mengi sana)Umegusia mambo mawili muhimu unyonyaji wa Erolink na mkataba kusitishwa na NBC anika huu unyonyaji tuufahamu wengine
hamna ukibarua wa miaka miwili......mwisho wa ukibarua ni miezi sita tu......wakikutimia baada ya miaka miwili unawadai chako...kama makato ya mifuko ya jamiii na mengineyo.......wabongo hatujui haki zetu kabisa.....hakuna permanent cotract hata ulifanya nao zaidi ya miezi sita kama sheria inavyosema, dogo kapiga kazi miaka miwili sasa ila bado ni tempo (kufanikisha hilo unarenew contract ever after 3 mnths na mengine mengi sana)
hamna ukibarua wa miaka miwili......mwisho wa ukibarua ni miezi sita tu......wakikutimia baada ya miaka miwili unawadai chako...kama makato ya mifuko ya jamiii na mengineyo.......wabongo hatujui haki zetu kabisa.....
umekurupuka wewe, jamaa kasema kila baada ya miezi mitatu mkataba unaexpire unasign mpya, hakuna contract ya miezi sita wala miaka miwili....wewe sasa ndo huna chako
Hajakurupuka ni sawa! Hata wafanyakazi wa kutwa akifanya kazi mfururizo kwa kipindi cha zaidi ya miezi sita, anastahili mafao yake kama ataachishwa kazi. Tofauti itakayokuwepo itategemea aina ya mkataba wa kazi aliopewa. Kwa ufupi ni kwamba wote wanapaswa kupewa notice kama unawaachisha kazi na kama amefanya kazi zaidi ya mwaka mmoja anastahili Severance allowance.
umetumia neno kuntu mwanajamii, una vielelezo vyovyote kutanabaisha madai yako?eroLINK ni matapeli
umetumia neno kuntu mwanajamii, una vielelezo vyovyote kutanabaisha madai yako?
Kibarua two years?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!