Pole sana kaka yangu, nimeshangazwa sana na taarifa yako kwa sababu tatizo hilo limewahi tokea kwa mama pale Muhimbili ATM ya NBC na ilitoa pungufu ya 80,000 na bahati mbaya ilikuwa wkend na hawakumrudishia pesa yake hata baada ya kuzidai, nafikiri kuna kaujanja wanafanza kwa sababu wanatime muda ambao sio wakazi na lazima wako wengi wameisha umizwa. THANKS