structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 910
mkuu huko nipo,si unajua mjini hapaNMB wamebadilika! Kufungua akaunti hakuna kwenda tena kwa balozi.............. karibu huku
yaap zilitoka hizo za buku tanotano,so kumbe hiyo ndio sababu,ila kwanini zote waziweke hizo buku tano tano ilihali wanajua kunawatu watatoa kama m hvimkuu, zilitoka buku tano tano ama?
yaap zilitoka hizo za buku tanotano,so kumbe hiyo ndio sababu,ila kwanini zote waziweke hizo buku tano tano ilihali wanajua kunawatu watatoa kama m hvi
Wakuu poleni. ATM za NBC huwekwa noti za 10,000 na 5,000 kwa uwiano wa 6:2 au 3:1 sawia. Hivyo kiwango cha noti za 10,000 huwa ni kikubwa sana. Ni kwa vile noti za 10,000 huisha kwanza ndo zile za 5000 humalizia. Poleni kwa wote mliopata kusumbuka.
NB: KIWANGO CHA JUU KUTOA HELA NBC NI SH. 1,500,000 KWENYE
ATM KWA SIKU.KUHAMISHA FEDHA KWENDA AKAUNTI NYINGINE KWA NBC MOBILE
NI SH.MILIONI KUMI KWA SIKU, KWENDA M PESA NI 1,500,000 KWA
SIKU.🙂:smile-big:
nbc mobile unajiungaje sijawah isikia hii.
nenda kwenye tawi lolote la nbc lililo karibu nawe. Kuna form utajaza na watakuunganisha.
Ondoa shaka karibu tena NBC kwasasa NBC Mobile tunakuhudumia popote fasta.