usijali mkuu...lleo niliposikia ile introduction song ya Chicago Bulls,nikawambuka Bulls ya Jordan....Ha ha ha, mna mbwembwe washabiki wa GSW.
Kuna wakati nilim'challenge' Nyani Ngabu kwa maneno "wanna bet?"
...ingawa Safari hii wako wengine wamehamia kwa Spurs, hivi sasa mbio za GSW zinatabiriwa kufikia kikomo...wapi? Oracle, come Monday😉😉😉
Mkuu baada ya ile Loss ya game 3 nilikuwa disappointed sana na nikakata tamaa kabisa... Nakumbuka Game 4 sikuweza kuingalia live, nilianza kuchungulia humu JF kuona madongo ya akina Raimundo na Nyani Ngabu na swaiba wetu asiyejulikana alipo BAK lakini baada ya kuona wako kimya na wewe ndiye ulikuwa unatamba ndio nikaanza kuiangalia hiyo game...18/1/2016 - CAVS: 98-132...difference 34 pts (=average GSW score per quarter)
20/1/2016 - Bulls: 94-125...difference 31 pts (=average GSW score per quarter)
22/1/2016 - Pacers: ???
Na sasa tunasubiri Jumatatu tarehe 25/1/2015. Kwa wanaofuatilia kwa karibu haya mashindano yanavyokwenda, sidhani kama watashindwa kuona jinsi mchezo wa GSW unavyotofautiana na ile ya timu zingine. Nakumbuka wasi wasi ulivyowakumba mashabiki wa GSW humu JF mwaka jana baada ya CAVs kuongoza 2-1 katika michezo ya fainali.
Nakumbuka nilivyojaribu kumtia moyo Steph Curry na kumtaka aondoe wasi wasi kwa sababu mimi nilikuwa nausoma mchezo na sikuwahi kuwa na shaka kwa uwezo wa GSW. Tyta alikuwa keshakata tamaa baada ya mchezo wa tatu na hasa pale mchezo wa nne ulipokuwa ukisubiriwa nyumbani kwa CAVs, Quicken Loans Arena.
Kuna wakati nilim'challenge' Nyani Ngabu kwa maneno "wanna bet?" Raimundo tayari alikuwa anatamba humu ndani kifua nje nje akinena mbio za sakafuni za GSW zimefikia ukingoni. Yegomasika ndio usiseme...ingawa Safari hii wako wengine wamehamia kwa Spurs, hivi sasa mbio za GSW zinatabiriwa kufikia kikomo...wapi? Oracle, come Monday😉😉😉
Spurs wamecheza game 42, 24 kati ya hizo wamepiga AT&T, 18 tu ndio walikuwa on road.. Na hizo 18, they are 12-6..Spurs! Usishangae yule kocha wao akawaweka bench Timmy na TP.
Show itakuwa ya Kawhi na LA, tena kama inaonyeshwa na NBA TV ndo kabisa mzee anazinguaga.
Spurs wamecheza game 42, 24 kati ya hizo wamepiga AT&T, 18 tu ndio walikuwa on road.. Na hizo 18, they are 12-6..
Spurs bado wana kazi ngumu kuipigania nafasi ya kwanza.. Kitu mbaya ni kwamba wakibakia hapo wanaweza kuja kukutana na OKC kwenye second round... Sisi tunaweza kutana na mteja wetu Clippers au Dallas.. Unaweza kuona hao jamaa watachoka sana... Maana First Round wana hatihati ya kuvaana na Rockets... Spurs ana njia ngumu ukilinganisha na ambayo atapita GSW... Waombe hio njia yao wasipatwe na majeruhi au wakaingia West finals wakiwa wamechoka...
I can bet top four kama ilivyo sasa ndivyo itakavyobaki...Hawataweza kuwatoa kwenye no 1, ila ninaamini strategy za Babu Pop kwenye kuwapumzisha wachezaji wake kwa ajili ya kuwaandaa na playoffs.
OKC na LAC wanagombania no 3 na wana equal chances, kwa hiyo kama LAC akimbit OKC kwenye no 3 mnaweza pia kukutana naye semi. Ambayo itakuwa playoff nzuri sana kama marefa hawataiharibu.
Hii inaitwa projection na kwa mwana hesabu ni kitu kinaeleweka sana. Lakini hata tukiacha hesabu, tunayo historia kupigilia msumari.Hivi msimu wa NBA ndo unakaribia kuisha, ama?
Loo, yaani hata wewe...upikiwe, uwekewe mezani, ulishwe na bado usubiri kutafuniwa! Makubwaa...Akina nani hao wadandia treni la Spurs? Hebu wataje tuwajue....
Kuna hiki kinachoitwa win streak ya nyumbani, ndio mbio inayoongelewa hapa.Halafu, hata kama GSW wakishinda hiyo Jumatatu, kwani huo mchezo ndo wa fainali? La sivyo, hii dhana ya kikomo cha mbio za timu yako kuishia Oracle zinatoka wapi? Kuna waliodai hivyo?
Wacha hisia ibakie hisia, iwe yako, yangu au yao. Bila hivyo maisha hayaendelei.Au ni hisia tu ulizonazo juu ya yale unayodhani labda ni hisia za wengine?
Hamadi kibindoni! Wengine husema, a bird in the hand...Timu yako ipo mechi mbili tu mbele ya Spurs.....tofauti si kubwa sana hapo. Na hadi kufikia mwisho wa msimu hakuna anayejua nani atakuwa anaongoza.
Ehe, u mwepesi kusahau...vipi yale mapepe kabla na baada ya Desemba 25 mwaka jana! Sikutegemea kushuhudia yale yale Januari 18 mwaka huu but then some people just never learn. Cool down bro, nachangamsha tu jamvi.Kwa hiyo punguza kidogo mapepe, msimu bado mrefu huu.
Hii inaitwa projection na kwa mwana hesabu ni kitu kinaeleweka sana. Lakini hata tukiacha hesabu, tunayo historia kupigilia msumari.
Loo, yaani hata wewe...upikiwe, uwekewe mezani, ulishwe na bado usubiri kutafuniwa! Makubwaa...
Kuna hiki kinachoitwa win streak ya nyumbani, ndio mbio inayoongelewa hapa.
Wacha hisia ibakie hisia, iwe yako, yangu au yao. Bila hivyo maisha hayaendelei.
Hamadi kibindoni! Wengine husema, a bird in the hand...
Ehe, u mwepesi kusahau...vipi yale mapepe kabla na baada ya Desemba 25 mwaka jana! Sikutegemea kushuhudia yale yale Januari 18 mwaka huu but then some people just never learn. Cool down bro, nachangamsha tu jamvi.
Regardless of the outcome of Monday's match, it is a match that neither team can afford not to take seriously. Three things immediately come to mind; morale-boosting, confidence-building and trend-setting...all will be exemplified in this one match. What's your take buddy?Duh!
Haya bana. Hongereni lakini.
Regardless of the outcome of Monday's match, it is a match that neither team can afford not to take seriously. Three things immediately come to mind; morale-boosting, confidence-building and trend-setting...all will be exemplified in this one match. What's your take buddy?
This is a lot better than the usual may the lucky team win😉😉😉May the best team win.
That's my take, big hommie.
I must admit,my confidence was all time low....Unajua being a First timer(The whole Dub Squad) against a team with a couple of Ex-champs had me reserve my doubts.....Tyta alikuwa keshakata tamaa baada ya mchezo wa tatu na hasa pale mchezo wa nne ulipokuwa ukisubiriwa nyumbani kwa CAVs, Quicken Loans Arena.
lots of KKK in the western Conf......tehetehALL STAR STARTERS
Western Conference: Curry, Westbrook, Durant, Kobe, Kawhi
Eastern Conference: Wade, Lowry, Lebron, Paul George, Carmelo
Couches will sit on 28th Jan to vote for the reserves...
The Cleveland Cavaliers have fired coach David Blatt, league sources told Yahoo Sports.
Ty Lue, Blatt's top assistant, has agreed to a three-year deal to become the team's new head coach, sources told Yahoo.
SourceLeBron James and his agent, Rich Paul, had been strong advocates of Lue becoming head coach since last season, sources said.
Far from it, this was no shocker, it was overdue. I sensed it last night as I watched him hobble his way around inspite of a comfortable win.Shocker!
Those devils, the DUBS, that wrecking crew from the Bay. After last year, last week's nightmare was like adding cayenne pepper to an open wound. Coaches have to come up with some antidote to avoid that kind of humiliation on home turf, once yes but twice!So what will be the excuse?
Blatt didn't have much of a chance, not with the King and his subjects breathing down his neck demanding his head.Because sometimes I think it's not even about the coach.
Here we differ buddy, coaches have to mould winning outfits...if they can't, they are out.The coach doesn't get on the hardwood and play.
Dont underrate yourself dude, some of us are learning a lot from you.[/QUOTE]Anyway, what do I know.....