Huu kweli ni mwaka wa "stunning and heart-rending defeats". Kila sport unakuta defeat ambayo hakuna aliyetegemea. My fellow decathlonians ka kina
Nyani Ngabu,
Tyta na
Alegria do povo wanaweza wakanisindikiza kwenye hili. Sio UFC, sio NBA, sio La Liga, sio NFL, etc.