Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
- Thread starter
-
- #3,001
Mwaka 2008 Spurs walivyowafagia hawa hawa Cavs kulikuwa na ushindani mkuu??Nilichoandika hakihusu kushinda timu A au B bali kutokuwepo ushindani ambao wapenzi wa BB tumezoea kuona miaka nenda miaka rudi kwenye NBA Finals.
Mkuu BAK wewe kama mshabiki unafaidika nini na hizo ratings?? Wewe ni NBA?? Wewe una TV kwamba utakosa matangazo?? Au wewe una kampuni ambayo ulitaka kuitangaza kwenye hizi finals ukiamini watu wengi wangeangalia lakini imekuja kuwa sivyo kama ulivyoplan??
Shabiki hizi ratings hazimuhusu ni kutafuta excuse tu (labda kama wewe ni mcheza kamari)... Ila hapa tuwe wazi watu ambao wanaumia na kusingizia vitu vingine ni wale ambao hamkutaka Warriors ishinde, na watu ambao tutaendelea kuangalia ni wale mashabiki wa Warriors pamoja na wale wenye chuki na Lebron James..
Hii inaitwa usiyempenda kaja teh teh teh
Naona hapa lugha gongana ninachozungumzia mimi hapa ni low ratings kutokana na kutokuwepo ushindani. Haihusu chochote kuhusu mimi kufaidika kwa namna moja au nyingine. Aliyekwambia mimi naumia kuzungumzia low ratings ni nani acha kukurupuka banaaa jaribu kuelewa ninachoandika badala ya kutaka kupotosha maana ya nilichoandika
Hahahaa...mi naona kama vile kuna concept gongana hapo.
Ni kama vile unatwanga maji kwenye kinu tu.
Mtu anashindwa kuelewa concept ya low ratings....kwa sababu hata kama hizi games mbili zingekuwa lopsided dhidi ya GSt bado ratings zingeathirika tu.
TV ratings hazina sijui mambo ya timu yako au la.
Ratings ni kipimo tu cha raghba waliyonayo watu na kuacha kufanya mengine na kuangalia mechi.
Na mara nyingi watu wanapenda kuona ushindani....na si hii sukuma mlevi.
Kwa mara ya kwanza hata ile hamu ya kuangalia NBA Finals nimekosa ukilinganisha na NBA Finals za miaka ya nyuma. Inadaiwa GSW kuwafunga CAVS kwa jumla ya 48 points katika michezo miwili ya kwanza imevunja rekodi ya NBA finals. Nadhani hata ratings za 2016 NBA finals zinaweza kuwa the lowest ever.
Sasahivi hatujadili Basketball, tunajadili Ratings... Huko ndiko ambako sasa tumejificha...Na kusema kweli, GSW wakiwasweep CAVS sidhani ka kutakuwa na ule mhamko au climax ka Series ingeisha kwa Game 6 au 7.
Itadhidi tu kuonesha how weak, competitively, the Eastern Conference is. Na kuvunja mioyo ya wengi kwa fashion ambayo itakuwa ya maumivu (sorry, Cavs fans).
Ndiyo hivyo Nyani Ngabu utadhani naandika kichina mpaka mtu ashindwe kunielewa kumbe ni Kiswahili duh!
Mimi nitaendelea kusema na kuwaweka wazi mnaoumizwa na Warriors kushinda alafu mnajificha na eti finals mbovu..
Timu yako pendwa Da Bulls ilidominate sana postseason za East mpaka Finals na sidhani kama uliacha kuitazama au kutokuwa na hamu sababu tu ilidominate.. First round ilimchapa Cleveland 3-0, Second round ikamchapa Knicks 4-1, Eastern Finals ikamchapa Orlando Magic 4-0 na Finals ikamchapa Seattle Supersonics 4-2.. Game 1 Bulls walishinda kwa point 17 zaidi, Game 2 Bulls walishinda kwa point 4, Game 3 Bulls walishinda kwa point 22 zaidi na matokeo yakawa 3-0.. Je, hii haikukupotezea mvuto au sababu ilikuwa ni timu yako wewe haukukosa hamu ya kuangalia??
Je, wewe unalichukuliaje hili la timu iliyoshinda 72-10 kudominate postseason yote na kwanini timu yenye record zaidi ya hiyo ya 73-9 hamtaki kuiangalia kwa kisingizio mechi hazina hamu??
HAPA NDIO NIMESEMA HAMU INAKOSEKANA KWA WALE AMBAO MNAUMIZWA NA MATOKEO YALIYOPO MEZANI... NINA HAKIKA DA BULLS ULIWAANGALIA SANA TU WAKIMCHABANGA MTU 3-0 KUANZA FINALS..
Ratings jamani kesho tusiangalie wala nini 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mie nimeshaondoka huku siwezi kuendelea kupoteza muda na mtu ambaye hataki kuelewa kile ninachoandika na kutaka kupotosha bandiko langu. SAYONARA
Hahaha, fam Steph Curry jaribu kuwa muelewa kidoogo. Sometimes tunaangalia all aspects of the game as well-informed sportmen do.Sasahivi hatujadili Basketball, tunajadili Ratings... Huko ndiko ambako sasa tumejificha...
Si unajua zile excuse za Big Three hazipo tena teh teh teh teh... Sasahivi hatutaki kabisa kujadili mchezo, wacha tujifiche huku kwenye ratings mpaka Cavs watakapo tie 2-2 kurudi Oracle...
Game 1 Bulls walishinda kwa point 17 zaidi, Game 2 Bulls walishinda kwa point 4, Game 3 Bulls walishinda kwa point 22 zaidi na matokeo yakawa 3-0.. Je, hii haikukupotezea mvuto au sababu ilikuwa ni timu yako wewe haukukosa hamu ya kuangalia??
Hahaha, fam Steph Curry jaribu kuwa muelewa kidoogo. Sometimes tunaangalia all aspects of the game as well-informed sportmen do.
Na sidhani ka kuna kujificha kwenye hili, we mwenyewe si unaona wapinzani wetu wamenywea wenyewe?! Sa sidhani ka kuna umuhimu wa kupoint fingers and refer a point of perspective as someone making excuses.
Come on my bruv, we Dubs are better than stomping a man already low.
And remember, always pay respect and kindness to the vanquished. No need to gloat everytime. Of note, you haven't done worse, just understand the perspective bro. Af tukiwapiga tena Cavs ndo tuanze kushangilia na kufocus on finding Nzi na Raimundo.
Bruv King Shaat kuna msemo unasema asiyekubali kushinda si mshindani.. Ukiwa unashindwa usitafute excuse zozote zile. Mimi nachokiona watu wanataka kupotezea hizi finals kwa kusingizio kwamba hazina mvuto. Ni kama jamaa mmoja nae hapa alisema ligi haina mvuto eti kwasababu tu GSW inashinda.. Hivi mbona Bulls ilidominate sana miaka miwili mfululizo na miaka yote hiyo ikimaliza kwa 72-10 na 69-13..Hahaha, fam Steph Curry jaribu kuwa muelewa kidoogo. Sometimes tunaangalia all aspects of the game as well-informed sportmen do.
Na sidhani ka kuna kujificha kwenye hili, we mwenyewe si unaona wapinzani wetu wamenywea wenyewe?! Sa sidhani ka kuna umuhimu wa kupoint fingers and refer a point of perspective as someone making excuses.
Come on my bruv, we Dubs are better than stomping a man already low.
And remember, always pay respect and kindness to the vanquished. No need to gloat everytime. Of note, you haven't done worse, just understand the perspective bro. Af tukiwapiga tena Cavs ndo tuanze kushangilia na kufocus on finding Nzi na Raimundo.
Kwahiyo tumeamua kupima competition kwa point differential au games won?? A win is a win be it with 1 point or even 40 points.. Hivi mbona OKC walivyoichapa Warriors game 3 and 4 kwa 52 points differential na ku extend series to 3-1 hakuna aliyekaa hapa kusema Western Conference Finals hazina mvuto au hazivutii kutazama ila wengi mlikuwa hapa kushangilia kwa nguvu zote.. Leo Warriors kumchapa Cavs kwa point 48 tu basi tayari excuses zimeanza teh teh teh tehSeries 1: Game 1 diff 17pts, game 2 diff 4pts; total 19pts
Series 2: Game 1 diff 15pts, game 2 diff 33pts; total 48pts
Mkuu atleast kwa hizi game 2 za kwanza ni series ipi utasema iko competitive?
Ikiwa wewe ni mshabiki ambaye either uko neutral au ni mshabiki wa timu inayofungwa, unapata wapi mvuto wa kuangalia game? Na ukishaacha ndo rating zinashuka.
Kwa upande wangu naomba niulize swali moja kuhusu kinachodaiwa kupungua kwa ratings kwa sababu Tu GSW inaongoza 2-0. Je hali ilijuwaje OKC walipokuwa wanaongoza 3-1 na wakiwa na home court advantage?Bruv King Shaat kuna msemo unasema asiyekubali kushinda si mshindani.. Ukiwa unashindwa usitafute excuse zozote zile. Mimi nachokiona watu wanataka kupotezea hizi finals kwa kusingizio kwamba hazina mvuto. Ni kama jamaa mmoja nae hapa alisema ligi haina mvuto eti kwasababu tu GSW inashinda.. Hivi mbona Bulls ilidominate sana miaka miwili mfululizo na miaka yote hiyo ikimaliza kwa 72-10 na 69-13..
Kuna mtu anasema yeye alikuwa anaipenda sana Bulls ya kina Jordan, sasa mtu huyo huyo anasema Finals za mwaka huu hazina ushindani na havimvutii kuangalia eti kwasababu tu Cavs wamechapwa game 2 kwa difference kubwa pale Oracle.. Sasa kwanini asiendelee kuangalia?? It took 4 wins to win championship, na huwezi jua Cavs watakuja na nini kule kwao kupindua haya matokeo. It is too early kusema final hizi hazifai kutazama unless uwape Warriors sifa wanazostahili kwa kuonekana kuwadominate Cavs na watu kudhani game zilizobaki zitakosa ushindani..
Sasa turudi kwa Bulls, 1995-96 postseason result zilikuwa 3-0 First Round, 4-1 Second Round, Eastern Conference Finals 4-0 na Finals 4-2... 1996-97 postseason result zilikuwa 3-0 First Round, 4-1 Second Round, 4-1 Eastern Conference Finals na 4-2 kwenye Finals.. Kwenye hizi results tunaona kabisa Bulls ilivyokuwa inadominate lakini sidhani kama BAK aliacha kuangalia hata mechi moja kama alikuwa na Access wakati huo.. Na ndio maana nilimuuliza hapa, kama Cavs ndio wangekuwa wameshinda hizo game 2 kwa point nyingi hivo je angesema finals hazimvutii?? Lakini hakulijibu hilo swali akakimbilia mambo ya ratings..
Nzi na mashabiki wa Cavs walikuwa wanafurahia kila siku humu Cavs ilivyokuwa inawapa vichapo kule East na hawakuwahi kusema East ni dhaifu au game hazina mvuto kuangalia ila walikuwa wanasema Cavs ni bora..
All in All hatuwezi kusema Finals hazina mvuto kwa game 2 tu za mwanzo wakati kuna game 5 zimebaki.. Hii hali tumeiona kwa finals za west na pia tuliona mwaka jana Cavs wakiwa 2-1 kwao lakini wakabadilishiwa kibao na kufungwa 3 mfululizo..