Steph Curry, mbona unaniangusha? Mimi ni mwana michezo inside out na imani yangu bado iko pale pale kama Warriors, hatukati tamaa. This is my home team na kumbuka slogan yetu, strength in numbers!
Steph Curry, mbona unaniangusha? Mimi ni mwana michezo inside out na imani yangu bado iko pale pale kama Warriors, hatukati tamaa. This is my home team na kumbuka slogan yetu, strength in numbers!
I still have hopes.. Ila Kerr sometimes anatuangusha, David Lee alifanya poa sana alivyoanza Q4 sijui kwanini alimtoa katikati mwa Q4 na kumrudisha Ezeli wakati tulishapunguza gap la point na kubaki 4 tu..
Nadhani Iggy na David Lee wanatakiwa kuanza next game, Barnes na Green wapumzike sasa ili wakiwa wanatoka bench wakaze.. Green wakati mwingine anasababisha turn overs za kijinga kabisa