And not to take anything away from GSW, ila jinsi Memphis wanavyocheza ni sloppy mno.
I mean, wanarukaruka tu bila hata mwelekeo.
Hahahahaaaa ndo maana kuna watu huwa hawaiamini hii michezo aisee.
Leo hadi Curry ana-dunk tena coast to coast...
Half time kama 3rd quarter Memphis hawatapunguza gap kubaki single digit basi mchezo utakuwa umekwisha.
You know when Curry dunks he wants to win teh teh teh..
Not to peddle any conspiracy theories, saa ingine hii michezo huwa kama haieleweki kabisa.
Ona kama hivyo Memphis wanavyocheza leo?
Okay, GS wanacheza na desperation lakini Memphis ni kama hawachezi kabisa.
It's kinda weird to me.
Michezo kama hii ndo huwapa credence conspiracy theorists.
This game is over in my book.
Heheh!!!
Sure thing...it's game over for Memphis...
Wajipange game 5 tu...
Yaani mie nilitegemea ushindani wa hali ya juu, lakini hawa Memphis wako doro sana sijui ndio kuchoka au ni kitu gani. Pamoja na kutaka kuwaona GSW wakishinda lakini washinde katika mchezo wenye ushindani wa hali ya juu si game kama hii. Ngoja tusubiri tuone second half labda wanaweza kucheza vile walivyocheza kwenye game 2 & 3.
It's not over yet.. Still anybody's game.
Afadhali hata game ya Wiz vs Hawks ilikuwa na ushindani mpaka sekunde za mwisho.
Lakini hii ni garbage kabisa.
Walau leo ntalala mapema.
I'm long overdue a good night's sleep anyway:becky:.
ni mshikemshike si kidogo......now you see how things can be hard to predict....Memphis Memphis Memphis!
GSW wanaelekea kupata ufumbuzi au Memphis wamechoka, maana kazi yao nguvu nyingi wakati kina kali nguvu kidogo.
This time playoffs ni mshike mshike, Houston Rockets tu ndo wamekuwa walaini kwa LAC.
Hakuna cha 3 mbele ya Tony Allen "First team all defense".
Klay kila akishtuka anajua TA yuko karibu, hadi kwenye FTs anakosa kwa kudhani anakabwa, mijamaa imeharibu show kabisa.
Leo kinawaka pia.
the better team won.GSW executed better,showed why they were the best defensive team,Its good to even the series and regain the home court.No more mistakes...Lets go DUBS....
Memphis Memphis Memphis!
GSW wanaelekea kupata ufumbuzi au Memphis wamechoka, maana kazi yao nguvu nyingi wakati kina kali nguvu kidogo.
This time playoffs ni mshike mshike, Houston Rockets tu ndo wamekuwa walaini kwa LAC.
Yaani mie nilitegemea ushindani wa hali ya juu, lakini hawa Memphis wako doro sana sijui ndio kuchoka au ni kitu gani. Pamoja na kutaka kuwaona GSW wakishinda lakini washinde katika mchezo wenye ushindani wa hali ya juu si game kama hii. Ngoja tusubiri tuone second half labda wanaweza kucheza vile walivyocheza kwenye game 2 & 3.
[/SIZE][/FONT]
hahahahahahaha pundit mmoja anasema ni conspiracy teh teh anaendelea kusema kuna match fixing lol..
Ina maana hizo match fixing zinakuwa sababu pale tu GSW ikishinda?? alikuwa anachekelea 15 points lead at HT on last game na hakusema anaenda kulala, eti hakuna ushindani. Lakini leo 17 Points kakimbia anasema hakuna ushindani teh teh.. Pundit at his best
CC: Tyta