Mwaka huu tutacheza na Giants kwenye regular season.
Sina uhakika kama mechi itakuwa Foxboro au MetLife stadium.
But I can't wait.
Halafu kwenye head to head match up kati ya Tom na Peyton, Brady is 11-5.
So it's safe to say Tom owns Peyton.
Nilisema mchezo ambao sitakuja kuuangalia ni American Football. Kwanza nilikuwa sielewi kitu kisha nilikuwa naona jamaa wanabamizana tu hata kwenye pre season utasikia mcheza kaumia hatakuwa available tena kwa season yote.
Nikaanza kuufuatilia taratibu na kuanza kujua sheria zake sasa hivi ni mshabiki mkubwa. Kuna baadhi ya games kwenye regular season sitaki kuzikosa na kwenye playoffs sikosi game hata moja. Superbowl ni sikukuu kwangu kuanzia asubuhi mpaka mechi inapoanza. Pamoja na hayo bado soka ndiyo baba wa michezo yote. Yaani ukiniambia kuna mechi ya soka na mechi ya American football na zote zitakuwa bomba sana ila nichague moja ya kuangalia basi kandanda itashinda siku yoyote ile. Hata kama magoli ni 0-0 1-0 1-1 lakini kama mchezo ni bomba burudani yake ni kubwa sana.
Nimeshakutana na watu wengi kiasi ambao nao walikuwa na mtazamo kama huo wako wa awali.
Lakini baada ya kuanza kufuatilia michezo na kuzijua sheria zake wamekuja kuwa wapenzi wakubwa sana.
Huwa naburudika sana ufikapo msimu wa Fall.....
What a game! Da Bulls lead series 2-1, 4 games to go, next game 3 between Clippers and Houston.
That's the kinda game I like...one that goes down to the wire and not those runaway ones.
Now I'm not sure who's gonna win that series 'cause the Bulls appear to be playing at such a high level and the Cavs seem to have dropped a notch after losing Kevin Love to the shoulder injury.
These series games can be seesaws at times.
And have you noticed that in these semis after game 2, all the eight teams are/ were tied 1-1?
That's how playoff basketball is supposed to be.
Btw, did you watch the Inside the NBA lip-synch battle held the other day at the TNT studios in Atlanta, GA?
It was pure hilarity!
I always enjoy the lively banter between all those guys.
HAWKS walitaka wafanye ya Golden State hapa.. Too bad Pierce kawafanya vibaya