Walete walete! Kwa wapenzi na mashabiki wa NBA utabiri wangu hii series CAVS watamaliza in 5 or 6 games na ile ya Houston na GSW ndiyo NBA final ya 2018, atakayeshinda na kama hana majeruhi wengi basi ndiyo bingwa. GSW experience yao na wakiweza kuwa accurate by at least 45% kupunguza turnovers basi Rockets hawana chao uwezekano mkubwa wa kwenda hadi game 7.