Cavs struggling at home against Pacers!
LeBron had to play the entire game just to win by 3 point.
Tukisema hii Cavs haina bench la maana hivyo haiendi popote watu wanabisha, hata mimi ni shabiki nguli wa LBJ ila ukweli hii Cavs imechoka, hii ni pacers bado hawana uhakika wa kupita sijui wakikutana na Raptors itakuwaje, inaweza kuwa aibu kwa King, Raptors ikienda hairudi lazima watupie.