So OKC had a defense last year? But still managed to beat the Spurs..
RW had KD, Ibaka and Adams but still choke.. What kind of help does you guys think is enough to make him relevant? Kwani Harden ana wachezaji gani wazuri sana kumzidi RW? He is forcing to do all the works ndio maana hata akitoka nje wanaobaki ndani hawajui wafanye nini.. Look at his Assist to turnover ratio utajua nini tunasema..
Last night he made only 6 FG from 23 attempts and 7 assists to go with 9 turnovers.. Tusubiri apate hiyo help tuone..
Same story.. Kama alikuwa na help ya KD lakini yeye ndiye akawa anang'ang'ania clutch shots ambazo nyingi zake ndizo hizo alikuwa anachoke..Ha ha ha! Sema wote na KD wali-choke!
Hapo kwenye red si sahihi maana hata huko juu nilisema I'm rooting for Russ to win the award lakini sitashangaa hata kidogo kama Harden akishinda.. I like him as a player lakini tabia zake awanjani ndio ambazo zisipendi.You really compare the defensive mind of Mike D'Antoni vs Scott Brooks!?
Again I insist lets not talk players without including the coaching. Mike D'Antoni is the genius of making a team look good on paper but he stands no chance against a true coach like Gregg Popovich.
Remember when Steve Nash won two MVP's because his stats were flawless under D'Antoni system but then again no ring was attained. Harden is the same victim but with slightly less basketball IQ than Nash.
Scott Brooks had a perfect plan against the Spurs and it worked.Sadly he couldn't account for his team (lead by KD and RW) coming up short in the last 3 games against GSW.
And please Harden has Williams,Beverly,Ariza,Gordon,Anderson all these are true marksmen they can shoot threes like crazy..OKC is the last team in NBA when it comes to 3pt shooting. It's not even close comparison.
Harden leads the NBA in turnovers but you just brought up the Ast/Tov ratio because it suits your argument. Lets talk PER which is the overall measure of efficiency RW is 1st...Harden is 5th. Case closed.
Kwa hiyo wakibaki ndani anawashika mikono wasicheze kikapu au sijakuelewa yaani wasipofanya jukumu lao napo RW ndiye sababu!?
Ok lets just agree to disagree. You simply dont like the guy.
Hapo kwenye red si sahihi maana hata huko juu nilisema I'm rooting for Russ to win the award lakini sitashangaa hata kidogo kama Harden akishinda.. I like him as a player lakini tabia zake awanjani ndio ambazo zisipendi.
Praising Greg as if he is not beatable... Where was he this past two seasons? Mimi bado naamini if Rockets comes huge on this series, they have a big chance to beat the Spurs.. It is true their defense sucks but its a team that can score 120 points easily..
Anyway we can consider this argument is over..
Unafikiri Cavs ni vichaa kutank mpaka second seed kuwakwepa hao..
Hapo kwenye red si sahihi maana hata huko juu nilisema I'm rooting for Russ to win the award lakini sitashangaa hata kidogo kama Harden akishinda.. I like him as a player lakini tabia zake awanjani ndio ambazo zisipendi.
Praising Greg as if he is not beatable... Where was he this past two seasons? Mimi bado naamini if Rockets comes huge on this series, they have a big chance to beat the Spurs.. It is true their defense sucks but its a team that can score 120 points easily..
Anyway we can consider this argument is over..
Mimi nishasema mapema kuwa fainali ni spurs vs cavs.Rockets kwa Spurs ni mlima mkuu, this Spurs hata nyie mnakaa mapema sana.
yangu macho.Mimi nishasema mapema kuwa fainali ni spurs vs cavs.
#defend_the_land
Cavs msimu huu achezi fainal.
Mm utabiri wangu mechi kati ya SAS na ROCKETS atakayepita ndio atakua bingwa. Cavs hao watatoka tu kaka. Ataruka ruka weeeeee ila akifika kwa mnyama Bulls atakaa tu msimu huu.Ni nani unamtabiria kumtoa Cavs?
Mm utabiri wangu mechi kati ya SAS na ROCKETS atakayepita ndio atakua bingwa. Cavs hao watatoka tu kaka. Ataruka ruka weeeeee ila akifika kwa mnyama Bulls atakaa tu msimu huu.
so unamaanisha bulls atapita kwa celtics, then atapita kwa wizards!! we jamaa mkali [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm utabiri wangu mechi kati ya SAS na ROCKETS atakayepita ndio atakua bingwa. Cavs hao watatoka tu kaka. Ataruka ruka weeeeee ila akifika kwa mnyama Bulls atakaa tu msimu huu.
kuropoka huku.. cjui anajua 2po regular season bado.. hio comment imekaa kiregular season [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nimeuliza ni nani unamtabiri kutoa Cavs East?
Sawa..but I heard the same shiit you say in last season's playoffs.Cavs msimu huu achezi fainal.
kuropoka huku.. cjui anajua 2po regular season bado.. hio comment imekaa kiregular season [emoji23] [emoji23] [emoji23]