Hebu soma tena niliyoandika...naongelea
starters wa GSW kufunga
65 na
bench (pia ya GSW) kuongeza
58 na hivyo jumla kuwa
123 dhidi ya Pelicans
! Hakuna nilipowataja starters wa Pelicans na sikutaja hata basket zao! The following is what I wrote;
Bench ya Warriors inaanza kuwa tishio...katika mchezo wa leo dhidi ya Pelicans Starters wamefunga
65 na Bench wamefunga
58, jumla
123.
Ngoja nikupe mfano...hebu itafakari hii sentense
Woman without her man is useless...sasa linganisha na na hizi mbili.
- Woman, without her, man is useless
- Woman, without her man, is useless
See what I mean?