Agreed...yapo mambo na ingawa ni rekodi lakini kusema kweli hayaeleweki kirahisi...wenzetu hufika mbali na kuita ridiculous! Mfano mzuri ni huu wa walioongoza kwa ufungaji katika mchezo wa NBA 5/12/2016 kama inavyoonekana hapa chini...;
- Klay Thompson (GSW) 60
- Lou Williams (LAL) 38
- James Harden (HOU) 37
- LeBron James (CLE0 34
- Dwayne Wade (CHI) 34
Fikiria pointi
60 wakati anayekufuatia unamzidi kwa pointi
22! Hapana, hii si bure na haiwezekani labda kwa miujiza tu.