Raimundo, hebu fuatilia huu mnakasha...Cavs lost to you guys; Kyrie and Love were out; tukasema this was the reason mkakataa, tulipokutana wote wakiwa health tukawatanguliza kwa 3 - 1, then tukawashinda.
Cavs lost to Indiana, we said it is because Bron was out, hutaki eti kisa siku alipokuwepo hao wengine wakiwa wanaumwa alishindwa!
LBJ hakucheza leo, it was a back to back game kocha akaamua kumpumzisha. Hope unaujua umuhimu wa LBJ kwenye ligi.
Raimundo bhana kwahiyo bila LBJ CAVS sio kitu kabisa
Akiondoka King tu CAVS itakuwa mdebwedo hahahahah. Ndo madhara ya kutegemea mtu mmoja kuibeba timu
Mkuu kwani hiyo ni siri, rudi nyuma angalia Stats za Cavs before hajaondoka, alipoondoka hawakucheza playoff misimu 4 mfululizo, toka amerudi kila mwaka wanaingia Finals.
Umeona hata GSW wanatengeneza timu kupambana na LBJ.
So unaungana na Skip Bayless ambaye yeye anasema MVP wa finals alitakiwa kuwa Kyrie Irving kwa sababu yeye ndo alipiga clutch shots zote muhimu kuwabakiza Cleveland mchezoni last season despite numbers ambazo LeBron aliweka?
Kaazi kwako Raimundo...😀😀😀!Mkuu Kyrie kuwa MVP no, point ni kwamba LBJ akiwa nje Kyrie nz team hawawezi kuwa na matokeo chanya, ila Kyrie anaweza kuwa nje na kina LBJ wakashinda. Maana ya MVP wa team ni yule mtu ambaye bila yeye timu haishindi, hizo clutch shots haziwezi kukupa u-MVP, ni supporting
Hebu sasa fikiria siku Klay, Steph na Kevin wote Wako on fire...hakutakalika wala kulalika!Klay Thompson leo ni fire..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
200 point gameHebu sasa fikiria siku Klay, Steph na Kevin wote Wako on fire...hakutakalika wala kulalika!
Hiyo siku ipo...Hebu sasa fikiria siku Klay, Steph na Kevin wote Wako on fire...hakutakalika wala kulalika!
May be in NBA2K200 point game
Tsup bruv! I'ma "Gold-blooded" GSW fan, but I'll give kudos to the old guard Allen. I have my reasons and still GSW.Who is more 'clutchy', Curry or Allen?
SLAM: Where do you rank Stephen Curry in terms of the greatest shooters in the history of the League? A lot of fans might argue that you hold that title.Who is more 'clutchy', Curry or Allen?
OKC wamelambishwa mchanga...
But nobody cares..!
Naona hujaelewa swali mzee! Zingatia keyword ni clutch na siyo shooter!SLAM: Where do you rank Stephen Curry in terms of the greatest shooters in the history of the League? A lot of fans might argue that you hold that title.
RA: Based on what he’s done, I think he has to be—he’s on his way to being the best ever. It’s always arguable, based on who’s telling the story. One thing I always tell people is, it’s hard to compare generations. Everybody has something or somebody that makes him feel special about the game, or the way they saw and the way they appreciate the game. I’ve sat back and watched a lot, and listened to a lot of people talk.
He’s creating a lane all of his own. People comparing him to me, to Reggie [Miller]. But I think Steph is in a category of his own. Just being able to have great handles the way he has with the ball, to be able to score at will by getting to the basket. Myself, Reggie Miller, Kyle Korver, Klay Thompson—we play a different game. We’re shooters. We come off screens, pindowns—Steph can do that, but he’s creating a different lane. Point guards haven’t been able to do what he’s been able to do, because he’s mixing that 2 guard-ish in there with having the great handles of a point guard.
When I broke the three-point record, they (Steph and Klay) watched that and it became something they said in their mind, this is what I want to do. Now, there are kids watching him, saying I want to work on these things, I want to be just like Steph.
Maybe... teh teh tehMay be in NBA2K
Nadhani hapa ni lazima sasa tufundishane tunaposema clutch shot katika mchezo wa basketball tuna maana gani maana ziko tafsiri nyingi na katika machache ni haya...Naona hujaelewa swali mzee! Zingatia keyword ni clutch na siyo shooter!
200 point game
Fikiria scenario hii Raimundo;
Q1
GSW.......18
Blazers....26
Q2
GSW.......39
Blazers....41
Q3
GSW.......29
Blazers....18
Q4
GSW.......25
Blazers....26
OT
GSW.......21
Blazers....14
Katika dakika 5 za OT, Curry alifunga 17! Hii ina maana kila dakika alifunga mara tatu na zaidi. Kwa hesabu za haraka haraka akicheza dakika 30 anaweza kufunga 102! Je wangapi wameiona picha ya Paul Allen mmiliki wa Portland Trail Blazers wakati Curry anafanya vitu vyake kwenye overtime? Kidogo azimie...!
Mkuu hiyo mara moja ninayoisema ni hiyo ya ku-score 17 points in 5 minutes ambayo unataka kuifanyia multiplication ya eti atapata 112 in 30 minutes! Ni kweli uko serious na hii sentensi au unachangamsha genge!
Naomba niahidi kitu, kama atakaa arudie ku-score 17 kwenye OT, au kuscore 80 points kwenye game 1, nitakupa $100 au niitoe JF kama mchango wa member yoyote humu awe Premium Member.
Yaani kwa Curry pia unathubutu kusema inatokea mara moja tu, duh!
Unajua Curry kavunja rekodi ngapi katika muda mfupi kuliko mchezaji yeyote katika historia ya NBA?
Kwa sasa kitu wapenzi wa basketball wanachojiuliza ni what will he come up with the next time he dons that jersey?
Hata Charles Barkley safari hii kakubali, kasema huyu dogo ni habari nyingine kabisa...hajawahi kutokea kama yeye!
Magoli Barkley alifunga katika muda wa miaka zaidi ya kumi yeye kapata ndani ya miaka miwili!
Ha ha ha, wazee wa unrealistic projections!
Mmenikumbusha zile za eti kwa vile Klay Thompson aliscore 37 points kwa quarter moja basi ipo siku atascore points 148 kwa quarter nne, au vile Stephen Curry aliscore 17 points OT (5 minutes) eti akicheza 30 minutes atascore points 102.
Kwenye hiyo $100 niliyoahidi kutoa ikiwa Stephen Curry atascore 17 points OT au 80 points kwenye game moja, naongezea na hii mpya ya 200 points.
Tuendelee kuwa pamoja wakuu.