Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,208
- 27,017
Basi tambua kila MTU na umuhimu wake kama unatambua Dray ni MVP Wa timu basi hata curry yupo kwenya a bunch of MVPs Dray yupo vizuri kwenye defensive sana Curry yupo Vizuri kwenye Scoring .Mkuu kusema kwamba Draymond ni MVP wa timu ni kwa sababu bila yeye ni ngumu kushinda ila bila Curry timu inaweza kushinda, hakuna ubishi juu ya Curry kuwa ni best shooter, ubishi uko kwa yeye kuwekwa kwenye discussion za Best PG ever, mara top 5 all time, nadhani unazikumbuka hizi sifa mwaka jana.
Kitu ambacho nawalalamikia washabiki wa GSw ni kwamba hawataki timu yao isemwe hata kidogo na utakuta ukikosoa kitu povu linawatoka kama nini.
All in all huu ni ushabiki tu, na ushabiki hauwezi kuwa ushabiki bila kuponda timu pinzani!
Hehehehehe Raimundo bhana kumbe hata wewe kumsifia dray nakumponda curry ni maneno ya kishabiki[emoji3]Mkuu chukulia tu kama maneno ya kishabiki kama vipi, kuna ule msemo wa mti wenye matunda ndo unaorushiwa mawe.
Curry ni best shooter, hili sina ubishi nalo.
Na ni ndo mwenye GSW.. By the way attachment umeiona?
Hehehehehe Raimundo bhana kumbe hata wewe kumsifia dray nakumponda curry ni maneno ya kishabiki[emoji3]
Sawa Hahahahahaha.....Curry siyo threat kwa timu yangu ya Cavs, ila DRaymond ni bonge la threat.
So team inapojiandaa kupambana na GSW inaumiza kichwa zaidi jinsi ya kudeal na DRaymond kuliko Steph, ndo maana hata mwaka jana LBJ ilibidi atafute jinsi ya kumwondoa jamaa kwenye game.
So, Curry kwetu ni mchezaji wa kawaida sana, na mlivyomwongeza KD ndo kabisa mmeturahisishia kazi, yaani tunaomba mje ninyi kwenye Finals.
Eastern conference sasa hivi ATL Hawks wanaongoza...LA clippers inaongoza kwenye power rankings hahaha. Clippers siwezi iwekea pesa yangu itaharibu tu kwenye playoff.
Timu nyingi zinafanya vizuri itakua season nzuri sana hii
Chill out bruh! Kwani ni uongo kwamba Green is the real MVP in the literal sense of being the most valuable player? Licha ya hivyo, hakuondoi ukweli kwamba Curry ni mzuri pia; lakini kwenye timu Green ni muhimu zaidi ya Curry. Hapa siyo suala la kumkubali Curry au lah! Yes, Curry may be an NBA superstar, but he aint the MVP in his team. And this is what Jordan and Lebron special: their presences carry teams, and their absences make the teams lose games. Yes, hawafanyi kila kitu, lakini wakikosekana kwenye timu, timu haifanyi kitu. Ndivyo alivyo Green kwa GSW. Kukosekana kwa Curry hapo GSW hakuna madhara kama kukosekana kwa Green! This is a proven fact na ushahidi upo.Hata Jordan needed Scottie Pippen to be a star ili awe bingwa wa NBA.... Lakini haikumaanisha kuwa Jordan was not great.. mashabiki wa Cavs siku zote mnatafuta sababu za kuonyesha Curry sio mchezaji hatari and it's a bitter pill to you kuwa hata LeBron alishawahi kutweet kuwa the boy is just so special and out of this world.. endeleeni kuita Green ndo the real MVP hakuna shida. Namba zinajieleza. Hata LeBron needed Kyrie Irving to perform ni first games ili mbaki kwenye race and he needed him pia to hit a clutch winning shot.. Lakini utafikiri Lebron anafanya kila kitu... damn get to your basketball senses.. mnataka Curry akapost kwenye Center na awe anaaverage 16 rebounds au. Mbona wengine tunamkubali LeBron and that's it.
Did you mean Curry has two NBA championship rings? Did he win it in the Space Jam movie or NBA?. There's been Magic Johnson.... 5 rings with him and Curry has got two.. .
Skipped the 3 mvpsDid you mean Curry has two NBA championship rings? Did he win it in the Space Jam movie or NBA?
Did you mean Curry has two NBA championship rings? Did he win it in the Space Jam movie or NBA?
That's how Cavs fans analyse basketball????? Ooohh God.. kuwa with Curry's absence Warriors are the same team? Really? I'll agree to concede this.... by the way I've this for you too.Chill out bruh! Kwani ni uongo kwamba Green is the real MVP in the literal sense of being the most valuable player? Licha ya hivyo, hakuondoi ukweli kwamba Curry ni mzuri pia; lakini kwenye timu Green ni muhimu zaidi ya Curry. Hapa siyo suala la kumkubali Curry au lah! Yes, Curry may be an NBA superstar, but he aint the MVP in his team. And this is what Jordan and Lebron special: their presences carry teams, and their absences make the teams lose games. Yes, hawafanyi kila kitu, lakini wakikosekana kwenye timu, timu haifanyi kitu. Ndivyo alivyo Green kwa GSW. Kukosekana kwa Curry hapo GSW hakuna madhara kama kukosekana kwa Green! This is a proven fact na ushahidi upo.
By the way, kwani Bron akitweet Curry ni special does it make his opinion authoritative?
Kaka, mbona unataka kulazimisha kujiaminisha vitu nisivyovisema? Wapi nimesema Curry is a normal player? Unasoma na kuelewa kweli braza? Yes, Curry is phenomenal! But, that doesn't have anything to do with Green's impact on the team. This is a fact bruh! We saw in last year's playoffs, when GSW was able to win games without Curry! Yes, GSW without Curry isn't the same (missing his 3 points shooting prowess). But, we all know how GSW struggled to win a championship deciding game (in their home court) because of Green's absence. This isn't about Cavs' fan analysing basketball, it is the reality bruh! You either suck it up or ignore it.That's how Cavs fans analyse basketball????? Ooohh God.. kuwa with Curry's absence Warriors are the same team? Really? I'll agree to concede this.... by the way I've this for you too. View attachment 435687 and I agree Curry is a normal player
Say what now...? Did we watch the same game or...?
Coz last I checked Draymond Green played in that game 7.
Or maybe which Green are you talking about?
Mmh...!Nzi said:But, we all know how GSW struggled to win a championship deciding game (in their home court) because of Green's absence.
Admit it dudes, GSW is what's what. Who cares about CAVs losing big to GSW in the 2015 finals. I never for one moment thought the whiners and cry babies could ever have such opposing views! The former can't stop whining that GSW had it easy because some dudes other than Bron were nursing injuries...the latter weep that the CAVs only lost to the Pacers because the King was indisposed. Come on blokes, make up yo' minds! Nyani Ngabu, Nzi & Raimundo which one is it?Nyani Ngabu said:Say what now...? Did we watch the same game or...?
Coz last I checked Draymond Green played in that game 7.
Or maybe which Green are you talking about?
..the hell did you just say?Admit it dudes, GSW is what's what. Who cares about CAVs losing big to GSW in the 2015 finals. I never for one moment thought the whiners and cry babies could ever have such opposing views! The former can't stop whining that GSW had it easy because some dudes other than Bron were nursing injuries...the latter weep that the CAVs only lost to the Pacers because the King was indisposed. Come on blokes, make up yo' minds! Nyani Ngabu, Nzi & Raimundo which one is it?
That's exactly what I meantπππ..the hell did you just say?
Mind translating that gibberish into common parlance?
I figured as much[emoji23] [emoji23]That's exactly what I meantπππ
..the latter weep that the CAVs only lost to the Pacers because the King was indisposed. Come on blokes, make up yo' minds! Nyani Ngabu, Nzi & Raimundo which one is it?