Mimi nimeanza kufuatilia huu mchezo mwaka huu(kuna jamaa yangu alinishawishi kuangalia),ilikua ni kwenye hatua ya PLAYOFF games...
GSW alikua anacheza na OKC...
Kwakuwa hiyo ndio ilikua game yangu ya kwanza kuiangalia nikajikuta niko upande wa GSW...
Baada ya hapo nikaja kuangalia game zote za fainali,kati ya GSW na Cavs...
Baada ya hizo games kuisha na Cavs kuwa washindi,nikatangaza humu kwamba nitakuwa shabiki wa GSW...
Nikapokelewa kwa mikono miwili na Tyta na Steph Curry ...
Mchezaji nayempenda zaidi kwasasa ni Steph Curry...
Kwakuwa ni mchezaji wa timu ninayoishabikia..!
Kwakipindi hiki kifupi nilichoanza kuangalia bball nimegundua wachezaji wanaopendwa zaidi NBA kwasasa ni Lebron James,Westbrook na Kyrie Irving..!
Timu inayopendwa zaidi ni Cavs..!
Ahahaaaaaah...Asante kwa majibu yako mkuu.
Mfumo uko namna hii,
NBA ina timu 30, kila timu ina washabiki wake tufanye average ya mil 1 kwa kila timu (huu ni mfano tu),
Sasa kama timu ikiwa ni nzuri sana ina maana itakuwa inazifunga hizo timu zingine, wale washabiki mil 1 wa hiyo timu watakuwa wanafurahi sana, ila wale washabiki wengine mil 29 kwa vyovyote hawawezi kufurahi, isipokuwa kila hiyo timu nzuri itakapokuwa inacheza wataishangilia timu pinzani dhidi yake.
Msimu ulioisha GSW amezifunga timu zote kwenye regular season na kaweka rekodi ya kushinda gane 73 kati ya 82 huku Steph Curry akiwa ndo chachu ya hayo mafanikio, je unataka washabiki wa timu pinzani wafurahie?
Ni kama hata kwenye mpira, utakuta kwamba wachezaji wanaofanya vizuri ndo wanaoonekana kuchukiwa, au timu zenye kufanya vizuri zinakuwa zinaonekana kuchukiwa.
Kifupi ni kwamba, kama unanifunga, unanizidi uwezo kwa nini kwa nini nikushangilie?
Ahahaaaaaah...
Nimekuelewa bradha...
Ila msimu uliopita bingwa si Cavs...
Sasa mashabiki wa timu zote zilizobaki ilibidi wahamishie chuki zao kwa Cavs na Irving...
Kwasababu hao ndio MABINGWA...
Au haiko hivyo..!?
Ahahaaaaah...katika hali ya kawaida wanatisha.
(Ila kwa LBJ watakaa tu).
Ahahaaaaah...
Sawa bhana...
Tuendelee kuangalia...
Leo Lillard amekarishwa na Curry..!
This proves the statement 'Hopefully it still smells a little bit like champagne'. tormented LBJ Long enough not to let it go..It's a good revenge however..
This proves the statement 'Hopefully it still smells a little bit like champagne'. tormented LBJ Long enough not to let it go..It's a good revenge however..
Baada ya michael jordan kustaafu nami nikaacha ishabikia chicago bulls na kikapu kizimaaaa sasa hawa GSW wamenifanya nirudi tena shabikia kikapu na hii ndio timu yangu mpya kwa sasaHivi kwanini GSW ndio timu inayochukiwa na watu wengi NBA..?
Pia kwanini Steph Curry ndio mchezaji anayechukiwa zaidi NBA..?
Nimejiuliza hili swali nimeshindwa pata jibu...
Nimehisi labda kwasababu ya UGENI wangu kwenye bball ndio maana sifahamu SIRI ya hii chuki dhidi ya Steph Curry na GSW..!
Kwa wale mashabiki WAKONGWE wa huu mchezo,ni jambo gani Steph Curry na GSW walifanya linalofanya wachukiwe sana..!?
Hii CHUKI nimekuwa nikiishuhudia kwenye official fb page ya NBA hata humu jukwaani pia...
Kule kwenye fb page ya NBA,ikitokea wamepost picha au habari ya GSW utakutana na CHUKI za wazi kabisa dhidi ya Steph na GSW...
Ila kitu kingine cha AJABU hata NBA wakipost habari au picha ya timu nyingine tofauti na ya GSW au Steph,bado utaona kuna watu(wengi) wanaizungumzia vibaya GSW na Steph...
Hii CHUKI huwa naiona hata humu JUKWAANI...
NBA fb page imekuwa ni Page ya GSW/Curry na anti-GSW/Curry,hadi hili jukwaa naona liko hivyo pia..!
Kwanini iwe GSW na Steph Curry pekee wakati NBA ina timu nyingi na wachezaji wengi..!?
Gsw ni manchester United ya u.s.a curry anachukiwa kama pogba na Man U inachukiwa kama hao GSWMimi nimeanza kufuatilia huu mchezo mwaka huu(kuna jamaa yangu alinishawishi kuangalia),ilikua ni kwenye hatua ya PLAYOFF games...
GSW alikua anacheza na OKC...
Kwakuwa hiyo ndio ilikua game yangu ya kwanza kuiangalia nikajikuta niko upande wa GSW...
Baada ya hapo nikaja kuangalia game zote za fainali,kati ya GSW na Cavs...
Baada ya hizo games kuisha na Cavs kuwa washindi,nikatangaza humu kwamba nitakuwa shabiki wa GSW...
Nikapokelewa kwa mikono miwili na Tyta na Steph Curry ...
Mchezaji nayempenda zaidi kwasasa ni Steph Curry...
Kwakuwa ni mchezaji wa timu ninayoishabikia..!
Kwakipindi hiki kifupi nilichoanza kuangalia bball nimegundua wachezaji wanaopendwa zaidi NBA kwasasa ni Lebron James,Westbrook na Kyrie Irving..!
Timu inayopendwa zaidi ni Cavs..!
haya sasa his hometown MLB Team (Cleveland Indians) wameblow 3-1 lead (WORLD SERIES) Cubs waleee wamechukua ndoo...😀😀Lazima iume aisee, na jamaa naona anawalipizia sasa.
Hii itaongeza ushindani hizi timu zitakapokuwa zinakutana.
View attachment 428573
haya sasa his hometown MLB Team (Cleveland Indians) wameblow 3-1 lead (WORLD SERIES) Cubs waleee wamechukua ndoo...😀😀
Ahsante sana mkuu...Karibuni sana George Betram na ze-dudu...GSW ndio gumzo la jiji na Steph Curry ndiye that baby-faced assassin anayetungua bila kumtazama mchawi usoni.
Congrats Russ & The Thunder............Can't wait for the Big Match Tomorrow...
View attachment 428575
yeah 3-1 sucks...DRaymond Green pia ka-tweet!
Hii inaongeza chachu ya ushindani, make sasa hivi ni vita kuu kati ya Cavs na GSW, ninaamini hata game za regular season zitakuwa high rated this time.
Ahsante sana mkuu...
Tutakuwa pamoja mwanzo mwisho...
Tena ninashukuru nimeanza kuishabikia GSW kipindi KIGUMU..!
Hapa nasubiria game yetu na OKC...
I hope Steph atampoteza Westbrook..!
hakika...amekuwa ''Point Guard'' sasa....He is Running the offence like never before..Somethings happen as a blessing in disguise..Umeuona moto wa James Harden?
Yuko vizuri msimu huu, akiendelea hivi hivi u-MVP unamuhusu aisee, nadhani ni baada ya kuachana na Khloe ndo karudi kwenye mstari.