NBA 2016/2017 Season Special Thread

Hilo lingeweza kutokea kama GSW angepoteza fainali ya mwaka huu...nimetumia angepoteza kwa sababu sizioni dalili za CAVS kuweza kurud na kushinda hii fainali kama ilivyotekea mwaka jana
 
Teh...
[HASHTAG]#TuendeleeKuwepo[/HASHTAG]
 
Hivi humu JF hakuna mpenzi hata moja wa CAVs mwenye uungwana wa kutupongeza? Naona tu malalamiko, mara super team, mara super stars, mara GSW kubebwa, mara TO, mara...jamani at leat congratulate us for today's game hata kama tume-fluke na siye tujsikie. Mimi ahadi yangu ni kwamba mkitufunga nitakuwa wa kwanza kuwapa pongezi nyeupeee bila doa! 14-0 post regular si mchezo, haijawahi kutokea katika dunia hii!
 
Taja timu iliyokuwa na 4 all-stars na two MVPs kwenye starting 5!

[HASHTAG]#KDisthedifference[/HASHTAG]
Ndo maana nikasema hizi record Nyingine zinakuja ghafla tu bin vuuu mnazitengeneza na kuzipromoti wenyewe.

Mkuu endelea kufurahia mchezo .

Aisee basketball ni tamu .
 
Yes, they both choked! Series hii haijaisha! Hivyo, still maneno yangu yanaweza kuwa sahihi hata kwa msimu huu!
 
Contribution ya Kd pale Warriors Iko wazi!Offensively and defensively!Maana hizo blocks sio mchezo!
 
This is the funniest I have heard today from a Warrior's fan...

When you play the Warriors,
they either beat you their way
or they beat you your way.
It is all for you to choose
which way you waana get beaten.
In the first game they beat the CAVs the Warriors way
and in the second they beat them the CAV's way!
Ha ha haaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…