44 Attempts... Kila superstar NBA akifanya attempt kama hizo lazima afunge hizo points na zaidi.. Kudos kwenye assist na rebounds. Lakini kumwacha Russ afanye kila kitu ndiko kunawacost OKC..
44 Attempts... Kila superstar NBA akifanya attempt kama hizo lazima afunge hizo points na zaidi.. Kudos kwenye assist na rebounds. Lakini kumwacha Russ afanye kila kitu ndiko kunawacost OKC..
Kwenye Assist na Rebounds hujaona kwenye timu yake sio NBA yote.. Assist kuna Rondo na kina John Wall... Rebounds ndio usiongee kabisa.. AD pekee amepokea rebounds 19 leo kama sijakosea
He is in the race.....putting into consideration he has all the freedom and time to do whatever he wants ''Mr.Give Me The Ball & Get Out My Way''.........44 FGA Tonight...